Acha ujinga wewe, sisi tulikua tunajenga "strong Foundation " ya nchi yetu kwanza, tulijua wazi kwamba bila kuwa na nchi iliyoimara huwezi kuwa na uchumi endelevu, baada ya kuhakikisha kwamba tunataifa imara lenye umoja, amani na mshikamano ndio tukaanza kushughulikia uchumi.
Ninyi mlioanza kujenga uchumi kwanza bila kujali kujenga umoja wa taifa lenu, mnaona kinachotokea?, nchi inasambaratika kwa misingi ya ukabila, insecurity, nepotism, corruption and terrorism, uchumi nao ndio hivyo unasambaratika tunawapita katika kila eneo
Sent using
Jamii Forums mobile app