Kwa wale wenye kutia shaka juu ya Tanzania kuipita Kenya kwa idadi ya matajiri, jibu lipo hapa

Kwa wale wenye kutia shaka juu ya Tanzania kuipita Kenya kwa idadi ya matajiri, jibu lipo hapa

Wakenya mmeanza kupingana na wazungu mnao wasujudia tuliwaambia huu mwaka ukweli utatika kwa mabeberu wenyewe na kwa wakenya wenyewe msije sema mi ni nabii

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi, hata wewe pia hujasoma hiyo taarifa imeletwa na mwenzako? Mbona leo Mnajifanya hamjui kusoma 😂 😂 😂
 
Huyu bongolala anakuanga mjinga kuruka. There's another one called ichoboy, yeye pia analetanga links ambazo hajui content inasemaje mwishowe anajiaibisha. Hawa wawili ni kama walizaliwa na baba mmoja
Wote wananitambua hao jamaa, huaga nawapa nawanyorosha sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninyi ni stupid na hamna akili kabisa, soma post #3 hapo juu kama sikujibu hilo swali lake, acheni kuweweseka Knight Frank is a global reputable body, ninyi watu wa Kibera mnaojisaidia katika mifuko ya plastic hamna uwezo hata 0.001% kuwakosoa. Tanzania imewazidi sana kwa matajiri, hamuwezi kushindana na Tanzania labda katika rushwa pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
"Global reputal body" kweli nayo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Manake sio kw hesabu za 9,000-500=2000[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]...

Wapigie makofi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hivyo ni ubishi tu wa kipumbavu, sasa Kenya inayo vigezo vipi vya kuipita Tanzania kwenye millionaires?

Tanzania Ina madini, wachimbaji wa madini kuingiza billions annually ni kitu simple

Soko la madini mkoa wa Geita pekee huuza dhahabu yenye thamani ya billion 300 kwa mwezi kutoka kwa wachimbaji wadogo hiyo pesa yote inaenda mifukoni mwa watanzania wa kawaida, Kenya Kuna biashara gani ya kumuingizia Mkenya wa kawaida pesa nyingi kiasi hicho kila mwezi?

Na madini sio Geita tu, kule Mererani Kuna matajiri wa kufa mtu, wanaendesha hizi vx v8 kama baiskeli hazina idadi
This is s very shallow analysis. These natural resources you are flaunting here ni vitu zimekuwa Tanzania since time immemorial ila bado tuliwashinda Kwa idadi ya millionaires, GDP na per capita income. Do not talk as if madini ni kitu iligundulika Tanzania leo asubuhi
LOL the current proper number of millionaires and billionaires in EA 2020

👇👇👇👇
2332614_2330842_Adjustments.jpg

Haulazimishwi, hutaki unaacha
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Forget about the percentages, focus more on the numbers. The report clearly states that Kenya had 8,300 dollar millionaires in 2013 and was ranked the fourth in Africa after SA, Egypt and Nigeria. How come this number has dropped to 2,000 ukiondoa 500?
Because Kenya had lost about 500 millionaires per year, and Tanzania created About 800 per year

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tuusan kuja uone Ile ripoti ya knight Frank haimake sense sasa Kenya itatokaje kua na millionaire 8500 Hadi sijui 150? Tanzania nayo inatoka kutoka Hadi 5600 Hadi 200? Na hii yoteni after 7yrs,yaani idadi ya millionaires kutoka SA itoke over 40k Hadi below 10k .... keep in mind JSE ni kubwa ata kushinda Moscow security exchange?

Sent using Jamii Forums mobile app
Jse kubwa kushinda Moscow? Proof?

Tanzania had been creating many of them per year, while Kenya loses them, the report is Seif explanatory. You are at denial phase, take time soon you will get out of denial and accept the reality.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is s very shallow analysis. These natural resources you are flaunting here ni vitu zimekuwa Tanzania since time immemorial ila bado tuliwashinda Kwa idadi ya millionaires, GDP na per capita income. Do not talk as if madini ni kitu iligundulika Tanzania leo asubuhi
Acha ujinga wewe, sisi tulikua tunajenga "strong Foundation " ya nchi yetu kwanza, tulijua wazi kwamba bila kuwa na nchi iliyoimara huwezi kuwa na uchumi endelevu, baada ya kuhakikisha kwamba tunataifa imara lenye umoja, amani na mshikamano ndio tukaanza kushughulikia uchumi.

Ninyi mlioanza kujenga uchumi kwanza bila kujali kujenga umoja wa taifa lenu, mnaona kinachotokea?, nchi inasambaratika kwa misingi ya ukabila, insecurity, nepotism, corruption and terrorism, uchumi nao ndio hivyo unasambaratika tunawapita katika kila eneo

Uchumi endelevu ni kuwafunga wapinzani[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania had been creating many of them per year, while Kenya loses them, the report is Seif explanatory. You are at denial phase, take time soon you will get out of denial and accept the reality.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bwahahaaa!!umeanza kuchangayikiwa[emoji1787][emoji1787]eti inashuka kila mwakawakati 2017 tayari hii hapa before tuingie 2018
Screenshot_20200310-100918_Samsung%20Internet~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Because Kenya had lost about 500 millionaires per year, and Tanzania created About 800 per year

Sent using Jamii Forums mobile app
Where is it written that Kenya lost 500 millionaires per year? And even if that's true, then how did it decrease to two thousand people over a period of seven years at the rate of 500 per year? Kweli wewe ni jinga type kabisa
 
Millionaires wanaohesabika ni kuanzia utajiri wa milioni ngapi?

Back
Top Bottom