Kwa wale wenye magonjwa sugu epukeni unene

Mimi nimechukua vipimo vya MTU mwenye urefu huo . sasa wewe chukua urefu wako binafsi kisha tumia kanuni hapo juu . ukipata BMI kati chini ya 25 na si chini ya 23 basis uzito wako ni muafaka. Ukiwa juu ya 25 hauzidi 30 unaitwa overweight , unashauriwa upunguze uzito. Kama ukipata zaidi ya 30 unaitsa obese, ni uzito mbaya kwa Afya yako. Ikiwa hujaelewa nipe urefu Wa MTU unayetaka kujua uzito mzuri kwake nikusaidie kufanuia Kazi hiyo kanuni.
 
Umepata 20.453 na hesabu yako ni mzuri sana .Tafsiri yake ni kuwa BMI yako ni 20. 453 na INA maana uko underwiht. Yaani ni mwembmba . ukiwa mwembmba Wa asili haina shida kwa Afya yako. Inasdikiwa wembamba huishi muda mrefu kuliko wanene na nadra kupata shinikizo LA juu LA damu au kisukari na magonjwa mengine yasiyoambukiza . wembamba ni sala kuliko wanene maishani.
 
Shida yangu iko kwenye weight.
 
Nikumbushe au google update majibu muafaka maana majibu tunatembea nayo kwenye google. Kwa faida ya wasomaji naomba utoe cut off points Sahihi tafadhali. Nilijikita zaidi na kanuni na tafsiri zake, jazia nyama kwa kuweka cut off points Sahihi.
 
Mkuu hiyo hesabu upo sawa ila hizo cut off points hazipo sawa
Asante kwa kutoa cut off point Sahihi .
 
Kwa muda mrefu niliweka kambi huo kwenye kuingia wa blue. Sasa hivi ndiyo ninasogelea yellow. Si rahisi, proper meal ninakula breakfast, lunch na dinner ni boiled eggs na salad. Maji kwa sana tu.
Jitahidi aisee... nipo kijani katikati..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…