Mimi nimechukua vipimo vya MTU mwenye urefu huo . sasa wewe chukua urefu wako binafsi kisha tumia kanuni hapo juu . ukipata BMI kati chini ya 25 na si chini ya 23 basis uzito wako ni muafaka. Ukiwa juu ya 25 hauzidi 30 unaitwa overweight , unashauriwa upunguze uzito. Kama ukipata zaidi ya 30 unaitsa obese, ni uzito mbaya kwa Afya yako. Ikiwa hujaelewa nipe urefu Wa MTU unayetaka kujua uzito mzuri kwake nikusaidie kufanuia Kazi hiyo kanuni.