Kama Niliwahi Kufanya Au Kutofanya Sipo Kueleza Yanayonitokea Mkuu... Yangu Yangu...Tuanzie hapa mkuu unaweza kutengeneza chane za majini? Ushawahi kula chakula kutoka ujinini??
Unaelewa nini kuhusu jini maiti??
So majini ni wadogo sana kwa Yesu Fanya kama unaenda kuwauliza Yesu ni nani then utupe mrejesho...Na Wewe Shindwa Katika Jina La Mungu Na Umbumbumbu Wako...
Rakims
Mkuu ni kweli hii dunia ina vitu vingi ila si vyote vinafaa kutumia au kujifunza.Shetani anatumia watu kujifanya mnaletewa elimu mpya,uongo mtupu mwisho wake si mzuri.Kuwa makini ndugu kuingi ni rahisi ila kutoka kuna gharama utalipa.Cku ukifungua unistue na mm nipate kujifunza mkuu. Hii dunia INA vitu vingi sana
Kwani Kwa Uwelewa Wako Hiyo Elimu Ya Mungu Uliitoa Wapi?Mkuu ni kweli hii dunia ina vitu vingi ila si vyote vinafaa kutumia au kujifunza.Shetani anatumia watu kujifanya mnaletewa elimu mpya,uongo mtupu mwisho wake si mzuri.Kuwa makini ndugu kuingi ni rahisi ila kutoka kuna gharama utalipa.
Mungu(Jehova) akusaidie uijue kweli na si elimu za wanadamu wakishirikiana na baba yao ibilisi.
Nilipata kutoka katika kitabu chake biblia,mafundisho ya watumishi wa Mungu waliosimama na si wasanii.Na wewe elimu ya majini umeitoa wapi?Nilikuuliza siku za nyuma kwamba mungu wako unayemwabudu jina lake nani ukakimbia hukutoa jibu.Leo tena nakuuliza,mungu wako unayemwabudu anajulikana kwa majina yapi?Sema ili watu wajue ili kama uko sahihi waeme na kama umepotea wakusaidie.Kwani Kwa Uwelewa Wako Hiyo Elimu Ya Mungu Uliitoa Wapi?
Rakims
Mimi Nafahamu Mungu Ni Mmoja Sasa Kama Kuna Kila Mtu Na Mungu Wake Hiyo Ya Kwenu Huko Umeipata Kwenye Kitabu Chake Kupitia Mtu Gani Usiongee Kama Umekatika Kichwa Maana Unadai Mimi Nimefundishwa Na Wanadamu Na Wewe Huyu Aliepiga Chapa Biblia Alikuwa Malaika Au?Nilipata kutoka katika kitabu chake biblia,mafundisho ya watumishi wa Mungu waliosimama na si wasanii.Na wewe elimu ya majini umeitoa wapi?Nilikuuliza siku za nyuma kwamba mungu wako unayemwabudu jina lake nani ukakimbia hukutoa jibu.Leo tena nakuuliza,mungu wako unayemwabudu anajulikana kwa majina yapi?Sema ili watu wajue ili kama uko sahihi waeme na kama umepotea wakusaidie.
Tulia nikujuze,lugha ninayoandika hapa siyo big deal nani alinifundisha,wewe kama unaamini mungu ni mmoja toa maelezo.Miungu ni wengi na wanamajina kibao,wahindi wana miungu wao,mabudha nao wana miungu yao ,waislam na wakristo pia kila mmoja ana mungu wao.Kama ulikuwa hujui kuna miungu wengi ila Mungu wa kweli ni mmoja,hapo kama ulimanisha Mungu wa kweli ni mmoja sema.Swali linakuja kwako je mungu unayemwabudu ndiye mungu wa kweli?Nitaendelea ukiyajibu maswali yangu nilyokuuliza na kukaa kwako kimya kunaonyesha huna uhakika na mungu wako.Jina lake anaitwa nani ?Wangu wangu ana majina mengi baadhi ni Yahwe,Jehovah n.k,mkuu wako hana jina?Mimi Nafahamu Mungu Ni Mmoja Sasa Kama Kuna Kila Mtu Na Mungu Wake Hiyo Ya Kwenu Huko Umeipata Kwenye Kitabu Chake Kupitia Mtu Gani Usiongee Kama Umekatika Kichwa Maana Unadai Mimi Nimefundishwa Na Wanadamu Na Wewe Huyu Aliepiga Chapa Biblia Alikuwa Malaika Au?
Na Hii Lugha Unaandika Hapa Ulifundishwa Na Malaika...
Rakims
Hakika Ya Mungu Ni Mmoja,Tulia nikujuze,lugha ninayoandika hapa siyo big deal nani alinifundisha,wewe kama unaamini mungu ni mmoja toa maelezo.Miungu ni wengi na wanamajina kibao,wahindi wana miungu wao,mabudha nao wana miungu yao ,waislam na wakristo pia kila mmoja ana mungu wao.Kama ulikuwa hujui kuna miungu wengi ila Mungu wa kweli ni mmoja,hapo kama ulimanisha Mungu wa kweli ni mmoja sema.Swali linakuja kwako je mungu unayemwabudu ndiye mungu wa kweli?Nitaendelea ukiyajibu maswali yangu nilyokuuliza na kukaa kwako kimya kunaonyesha huna uhakika na mungu wako.Jina lake anaitwa nani ?Wangu wangu ana majina mengi baadhi ni Yahwe,Jehovah n.k,mkuu wako hana jina?
Haya yote nayajua(tell me something I don't know),na hayo uliyoyaandika nayajua,una tabia ya uoga mimi wewe ukiniita kafiri kwa level yangu wala hauniharibii siku wala hormone zangu hazichange.Bado hujajibu maswali yangu unatumia Quran lakini unachofundisha ni shiriki.Uislam hauruhusu wanadamu kutaka msaada kutoka kwa majini,Qurani imesema "Allah aliumba majini na wanadamu wamuabudu" / "And I did not create the jinn and mankind except to worship Me. ..." I.Wewe unajificha nyuma ya Quran kuitumia kufanya mambo yako.kama unadhani sisomi Quran pole sana.Hakika Ya Mungu Ni Mmoja,
Mweuzi Mungu Tu Ndiye,
Hakuzaa,
Wala Hakuzaliwa,
Wala Hakuna Anaefananishwa Nae......
Sasa Iwe Ni Kwa Majina Au Maumbile Au Uwezo Nadhani Umenifahamu... Mungu Wangu Ni Mmoja Tu Pia Ndiyo Mungu Wa Kila Kitu...
Ukitaka Kumfahamu Jina Tafuta Mungu Ambaye Ni Mungu Wa Kila Kitu Last Comment From Me To You About God(mungu)...
Sema "Enyi Makafiri, Siabudu Mnachoabudu, Wala Nyinyi Hamuabudu Ninaye Muabudu,
Nyinyi Mna Dini Yenu Na Mimi Ninadini Yangu"
NB:
Kafir Ni Mtu Anaepinga Dini Ya Mungu Sio Tusi..
Rakims
Wewe Ndio Maana Hata Vidole Havilingani Kila Mtu Anaelimu Zake Uzi Zangu Huwa Zinakukera Sana Eti? Kaa Pembeni Kila Mtu Na Imani Yake Tatizo Huwa Unaongea Sana Afu Maneno Mengi Pointi Ndogo Je Hao Majini Hawamuabudu Mungu? Umeona Kuna Sehemu Nimeandika Muwategemee Au Unaongea Mradi Na Wewe Umecomment?Haya yote nayajua(tell me something I don't know),na hayo uliyoyaandika nayajua,una tabia ya uoga mimi wewe ukiniita kafiri kwa level yangu wala hauniharibii siku wala hormone zangu hazichange.Bado hujajibu maswali yangu unatumia Quran lakini unachofundisha ni shiriki.Uislam hauruhusu wanadamu kutaka msaada kutoka kwa majini,Qurani imesema "Allah aliumba majini na wanadamu wamuabudu" / "And I did not create the jinn and mankind except to worship Me. ..." I.Wewe unajificha nyuma ya Quran kuitumia kufanya mambo yako.kama unadhani sisomi Quran pole sana.
Kama wewe unjiita muislam ni Munafiq ,bora kwako ungekuwa Mulhid kuliko ulivyo sasa kwani unayoyatenda hapa jf hayaendani na imani hiyo.
Badala ya kuisoma dini yako uifahamu uko busy una make money kwa kutumia hao viumbe.
Mtu asiyejua maana ya Kafir atakuwa wa kwanza kumwita mwenzake kafir hili ni neno la kiarabu linalomanisha mtu asiyemwamini Mungu au kwa lugha nyingine mpagani.Kama biblia ilianza kuandikwa kabla ya Qurani ,kuna sehemu kwenye biblia inasema msiwe kama ma Kafir,sasa tumia akili yako,biblia iliposema Kafir ilimanisha nini?Na huyo alikuwa ni mtume Paul ambaye alikuwa yupo huko arabuni .
Sasa wewe kulitumia sana hilo neno haibadilishi maana yake ya msingi,kuweni mnafuatilia vitu siyo kwa sababu umezaliwa ukakuta watu wanaita wenzao na wewe unafuata,take a time do your home work.
Usikimbilie kuleta aya za kwenye Quran,sema kwa maneno yako ili tujue umejifunza nini,unapocopy aya inaonyesha wewe kama wewe hakuna ulichonacho ndani,hata mimi naweza kuwa nacopy aya za kwenye bibli na kuziweka hapa.
Rakim tulia,kumbe huwa unpost vitu kisha unasahau?Zisome mwenyewe post ambazo umeweka jf kwa ujumla utanielewa.Kuhusu majini kumwabudu mungu hiyo ipo ni katika uislam,majini wanamwabudu mungu lakini katika ukristo haipo.Kwa hiyo elewa mambo kwa undani usifuate mkumbo.Nakumbuka ulisema hautanijibu tena nashangaa hii inaonyesha haumanishi unachokisema wala hukumbuki.Unachofanya kinachochea shiriki mioyoni mwa watu na wewe kama watu wataingia katika shiriki kwa sababu ya post zako hakika utakuwa na la kujibu.Wewe Ndio Maana Hata Vidole Havilingani Kila Mtu Anaelimu Zake Uzi Zangu Huwa Zinakukera Sana Eti? Kaa Pembeni Kila Mtu Na Imani Yake Tatizo Huwa Unaongea Sana Afu Maneno Mengi Pointi Ndogo Je Hao Majini Hawamuabudu Mungu? Umeona Kuna Sehemu Nimeandika Muwategemee Au Unaongea Mradi Na Wewe Umecomment?
Rakims
Hahahaha na kwel mzeehahahaha it happens kama nilivyohisi poleni wote yaelekea hata shule mlikuwa watoro maana nimetaja wahusika ila zombie mmejitokeza
[HASHTAG]#Rakims[/HASHTAG]