Kwa wale wenye "MAJINI" vichwani au pembeni yao

Kwa wale wenye "MAJINI" vichwani au pembeni yao

Mi sijawahi Fanya hizo mambo, mie ni wa Jesus.

Basi ni vyema ukamtumainia Jesus au umeona hatoshi mpaka unaulizia huku kwetu kuwa ufanyeje, it means umeona Jesus hana msaada, hafai na wala hatoshi and that's why you need a help from others...?
 
Basi ni vyema ukamtumainia Jesus au umeona hatoshi mpaka unaulizia huku kwetu kuwa ufanyeje, it means umeona Jesus hana msaada, hafai na wala hatoshi and that's why you need a help from others...?
Imani Yake Ya Kutanga Labda..

Rakims
 
Only in Tanzania, majini wanashauri watu...
Correction.Ungemwuliza mleta mada ni watu wa imani ipi wanashauriwa na majini,a commited christian hawezi wala hayo madudu hayawezi kukaa kwake.Hii dunia ni ya ajabu wakati tunahangaika kufanyia watu deliverance wengine wanayafuga.
 
Sjakuelewa vizuri swali lako.

Lakini kama itakuwa una JINN unataka uliondoe mwenyewe inawezekana ila inahitaji elimu kiasi na uache mambo machafu kwa kumuelekea MUNGU na kufanya yale yalio mema huku ukiendelea na zoezi la kumtimua JINN huyo/hao.

Pia inategemea ni JINN wa aina gani coz asili yao hawa ni wabishi sana ndugu. Yuko tayari kuumia au kufa akiwa mwilini na kugoma kutoka mpaka dakika ya mwisho inabidi umuue tu inapokuwa hakuna jinsi. Ntakuja na uzi soon tu usjali.
Uni tag dude
 
Kuna watu watanasa kwenye huu mtego....na jamaa aliyeleta uzi atapiga hela sana
 
Kula kwa dharura na kula kwa kawaida kuna tofauti yeyote ile? Hivi chakula unacho kula wakati wa dharura si unatumia mdomo huo huo au kuna sehemu nyingine unalia hicho chakula na haki ingii kwenye tumbo lako?



TUJIFUNZE LOGIC KIDOGO:
Allah's First Pork Law:
Thou shalt eat not pork:
1. KITO MOTO NI HARAM. Asema Allah

Allah's Second Pork Law:
Thou shalt eat pork in time of trials:
2. KITI MOTO SIO HARAM WAKATI WA DHARURA. Asema Allah.

Hivi mtu mwenye akili unaweza fuata Allah mwenye kigeugeu namna hii?
Why is Allah breaking his own laws?



Mafundisho yetu sisi yapo wazi kabisa na Mungu wetu hana kigeugeu kama Allah wenu ambaye anapinga uwepo wa Mungu kwa kusema "LA ILAHA ILA ALLAH" Haya ndio matatizo ya ALLAH.
Huwezi sema kuwa hakuna Mungu halafu udai Allah ni Mungu. Something is weird here. Is Allah God? If, your answer is yes, why is then Allah saying THERE IS NO GOD?



Mimi siwezi ielewa hiyo aya ambayo inakataza kula Nguruwe na wakati huohuo inaruhusu kula Nguruwe.
Hivi si Allah anaye sema you should die for him, sasa kivipi kwenye NGURUWE TU anatakaza kufa kwa ajili ya ALLAH. If you can blew yourself for the cause of ALLAH, kwanini wakati wa ULAJI WA NGURUWE ISIWE HIVYO, kuwa I am not going to eat PORK till death take you apart, I will die for Allah?
Si kwamba hamjui kiswahili ila hata akiki zenu zinafanya kazi kwa kiwango kidogo sana...... Si kwa utaahira huuu.....nyie kabila gani hata msielewe kinachosemwa kwenye aya hizo
 
Si kwamba hamjui kiswahili ila hata akiki zenu zinafanya kazi kwa kiwango kidogo sana...... Si kwa utaahira huuu.....nyie kabila gani hata msielewe kinachosemwa kwenye aya hizo
Hiyo Wanayofanya Ni Copying And Paste Kama Tactarian At School...

Rakims
 
Kwa KUANZA Naushusha UZI Huu Maalumu Kwa Watu Mwenye Marohani/Majini WASAFI Yaani ASIE Kutesa Wala Kukushurutisha Yupo Tu Labda Kukushauri Au Mambo Mengine Sizungumzii Kuwaalika Watu Hapa Wasio Na MAJINI vichwani au Ndotoni Tofauti Na Majini Wachafu(pepo mbaya).... Wala Wasioamini Uwepo Wa Hawa Viumbe.. wala wenye imani (-) na Hawa Viumbe HIVYO tafadhali Kama Haikuhusu KAA Mbali na Huu UZI....

Kwa Kuanza:

Majini ni viumbe ambao wameumbwa kwa Moto na walikuwa wakiishi duniani kabla ya binadamu miaka Milioni nyingi iliyopita.
Viumbe hawa wana tabia kubwa mbili;

Yaani ya kibinadamu kwa maana wanakuwa wanafanya mapenzi, wanazaa na wanakufa.
Tabia nyingine ni ya Kimalaika ambayo ni kwamba wana uwezo wa kujigeuza katika umbo lolote wanalotaka na vile

vile wanaruka na kwenda wanakotaka au kupita wanakotaka bila kutumia chombo chochote.
Taifa la Majini limegawanyika katika makabila Milioni Sabini na mbili (72,000,000) na wana uwezo wa kujifunza lugha yeyote wanaoitaka.

Idadi ya Majini ni kila Binadamu mmoja kuna Majini 300 na wanaishi katika Majumba yetu, kwenye Miti, Majangwani, Kwenye Mapango na Sehemu zenye Misitu Mikubwa.

Majini wako katika aina Mbili (2); Maruhani na Mashetani.
Maruhani ni Majini wema ambao wanamtii Mwenyezi Mungu na wanawasaidia Binadamu katika mambo mengi.
Mashetani ni Majini Waovu ambao ni wakorofi na wanawaletea Watu madhara na Matatizo mara kwa mara.



Majini Ni Viumbe Ambao WAPO Kama WANAADAMU Kwa kuwa na free wills yani maamuzi ya uhuru kwamba naamini au siamini iwe katika mungu au shetani.. sita waelezea sana kwa maana wameshaelezewa sana ila mimi napiga mng'arisho au msasa ili ufahamu wa watu uzidi kuongezeka..

VIUMBE Hawa wamegawanyika makundi mawili wapo waliomuamini mungu mmoja hawa huitwa marohani na wapo ambao hawajaamini wanamfuata shetani pia wao wanaitwa mapepo wachafu au majini wabaya mradi tu wawekwe kwenye ubaya ubaya..

ila wao kwa jina la kundi tunaweza kuwaita walioasi au waislamu huwaita makafiri wa kijini na wakristo huwaita mapepo wachafu.

Pepo wachafu au makafir wa kijini kwa ujumla majini waliumbwa kabla ya wanaadamu na walipewa machaguo ya uhuru wengi wao wakamuasi mwenyezi mungu ndio amri ikashuka kwamba waangamizwe wote na malaika viumbe watiifu wakashuka na kuja kuangamizi majini wengi..

Lakini hawakuangamizwa wote kwa maana wengine walipewa uwezo na mwenyezi mungu kuingia popote vyovyote hivyo waliingia majabarini chini ya mabahari na wengine waliingia katika matumbo ya wanyama..
.
vile malaika hawakupewa uwezo huo wakarudi na kumtaarifu mwenyezi hali halisi ndipo wakaruhusiwa kuwaacha wale waliokimbia....

Baadhi waliogopa sana kwa kuona mwenyezi mungu ni mkali wa kuadhibu wakaanza kutubu ndio hawa huitwa leo Majini wema Au Maruhani..


Waliobaki wengine walijiona wenye nguvu na waliweza kujihisi wamemkimbia mwenyezi na Wakaendelea Kufanya Maasi Yao...

kitu kingine watakiwa kujua majini wapo mara 300 yako wewe yani kila binaadamu wapo mara idadi hiyo yake Viumbe Hawa huishi miaka mingi wengine hufika hadi miaka 1000/-

majini wema hawamkalii mtu kwa ubaya humpenda na kutamani kumsaidia.. hawampotoshi imani yake alionayo humuangalia tu nakumsaidia mambo mengi tu bila kujijua kama mtu kufaulu vema bila kujijua wala kusoma sana, kupendwa pendwa na watu, kupenda mambo ya kiroho zaidi kuliko ya kimwili, humfanya mtu awe na huruma.

Kumletea ndoto njema akilala na humpunguzia maumivu ya mwili bila kujijua.. kumfanya afikirie jambo jema mtu hadi alifanye.. hawana roho mbaya hulia pale unapofanyiwa ubaya wengine hupanda kichwani na kulia sana pale unapouziwa wengine hukupitishia kitu kama hope rohoni au barafu unajiskia umekaa sawa na kusema one day yessss! huomba pamoja na wewe pale unapotupa malalamiko yako kwa mwenyezi mungu kwa imani yako....

majini wabaya au pepo wachafu humfunga mtu riziki zake na humrudisha nyuna mtu mambo yake na kumbaka kumfedhehesha mpaka akaanza kumkufuru mola wake, na kuanza kujihusisha na ushirikina ndio anaona anafanikiwa humnyanyasa ndotoni kwa kuota anakimbizwa anapigana anatukanwa.. anadhalilishwa anaumwa anateswa na akiamka anakuwa hana raha... humjaza mtu ujasiri anapotaka kufanya tukio chafu....


jinsi ya kujijua kama una jinni:

MSAFI/MCHAFU AU Huna tu

kwa kuwa hawa ni viumbe tuwafananishe na bacteria wanapokuingia huwaoni lakini madhara mwili unapata...

ZIFUATAZO NI DALILI ZA KUJUA KAMA UNA JINI MSAFI AU MCHAFU KIIMANI
..

1: Kuumwa kichwa kisichojulikana mwanzo wala mwisho mradi tu kinauma kila siku muda wowote

2. Uzito ktk Mabega au hata kichwani kwenyewe.


3. Kuota vitu vya kutisha usingizini

4. Kuchukia kuona au kuolewa km bado hujaoa au kuolewa.

5. Kwa alie Oa au kuolewa huchukia Tendo la ndoa

6. Kupatwa na maumivu wakati wa kufanya tendo la ndoa au baada

7. Baadhi ya wanawake hukosa Maji maji katika UKE wakati wa kufanya tendo la ndoa na hivyo wakati mwingine hupatwa na michubuko endapo lita lazimishwa tendo hilo

8. Baadhi ya wanaume hushindwa kumalizia vizuri tendo la ndoa au kumaliza haraka zaidi na kisha kupatwa na usingizi Mzito Mara tu baada ya kumaliza Tendo la ndoa.

9 Km una mke au Mme hutaki kufanya nae tendo la ndoa na usiku huo ulio kataa unaota unafanya na mtu mwingine.

10.Kuwa na hasira za ajabu wakati wa kuamka asubuhi.

11.Wakati mwingine huona km kuna mtu kakuinamia wakati ukiwa umelala taa imezima(kiza)

12.Wakati mwingine huhisi km kuna mtu anatembea ndani ya chumba ulicho lala. Ukijaribu kuwa makini kumsikiliza au kuwasha taa humuoni mtu yeyote.

13: kujilaumu hadi kuhisi kulengwa na machozi kwa kosa dogo tu

14: kuchukia kutumwa na hupenda kujiajiri

15: kuchukia sana dhambi

16: ukikaa sehemu ya kimya sana unasikia watu wanaongea kichwani

17: kuota unasali kila mara hali ya kuwa kama unajilazimisha kusali ikiwa imekupita hata sala moja

18: kustuka saa nane usiku baada ya kuota umeamshwa kusali au adhana ya kwanza kwa mwislamu

19: kuota unamuombea mtu na mwili wako kujaa nguvu kwa mkiristo

20: kuota unaongea na kiumbe asiekuwa binaadamu either mnyama au ndege..

zipo hizo ni baadhi tu.. hii ni fursa kwako wewe mwenye majini kujitambua je ulionayo ni mema au mabaya? na unayatumia au yanakaa tu? unayatoa au unabaki nayo unaongeza elimu ili usimkufuru mwenyezi kwa kuwa na majini....

karibuni
P.M Namba Yako Tutengeneze group ya WHATSAPP Ya watu wenye maruhani tufundishane namna ya kuwatumia vema ili wasitupotoshe ikiwa unao na unajificha basi kumbuka huwezi kukimbia kivuli chako..

Walikupeleka wapi walikufundisha nini? yapi ya ajabu uliyaona? yapi yalikufanya ukainua mikono juu ukasema kweli mwenyezi umeumba hawa viumbe? haya na mengine mengi tutayaangalia humo kwenye group.

kuna watu hawana na wanawish wawajue na wawe nao nafasi zipo 15 tu na kuingia kwenye group jini wachafu hatuta fundisha...
. 30 wale wenye marohani wasiojuwa jinsi ya kuwaongoza na kuwatumia...

karibu tujadiliane....

[HASHTAG]#Rakims[/HASHTAG]
Hivi mkuu unajua hata kuandika kombe na kudhikiri kweli??
 
Acha ujinga na kupotosha watu, roho mtakatifu ni Roho wa Mungu wewe unamfananisha na mapepo yako, kama hujui kitu uliza ufundishwe Acha upumbavu.
 
Back
Top Bottom