Kwa wale wenye matatizo ya kutopata watoto/uzazi

Upendomia

Senior Member
Joined
Feb 25, 2013
Posts
121
Reaction score
13
Habari wana JF

Kwa wale wenye matatizo ya uzazi (kutopata mtoto). Kama ulishawahi kupata mtoto mmoja na inashindikana kupata wa pili, pia kwa wale ambao wanashindwa kupata ujauzito kama matokeo ya kutumia madawa ya kuzuia ujauzito kwa muda mrefu au kwa wale ambao hawapati ujauzito sababu ya kutoa mimba mara kwa mara.

Wote waonane na mimi, habari njema nina dawa maalumu za asili kwa ajili ya tatizo hili. Wapo ambao tayari nimewasaidia na wamepona.

Kadharika huduma yangu kwa wale wenye matatizo yafuatayo bado inaendelea:

1. Watu wazima waliopalalaizi, nawafanyia mazoezi (masaji) na kupewa dawa zinazotokana na vyakula vya asili.

2. Watoto wadogo waliozaliwa na ulemavu nao nawafanyia mazoezi na kupewa dawa asilia.

3. Wenye magonjwa ya kisukari, moyo kuwa mkubwa, vidonda vya tumbo, asthma/pumu, taifodi, malaria sugu kwa watoto na watu wazima, uzito/unene kupita kiasi na magonjwa mengine.

NIPO DAR ES SALAAM LAKINI NAHUDUMIA PIA WALIOKO MIKOANI.

Wengi niliowahi kuwatibu wamepona.

Nipigie: +255 714 755 582 (Dada upendomia).

Dada, mimi nina hamu ya kupata mtoto.

Nimemuoa mkewangu mwezi wa 6 mwaka jana mpaka mwezi wa 8 Mungu akajaalia mke wangu akapata ujauzito kufikia mwezi wa 12 ujauzito ukaharibika tukaambiwa tusifanye mapenzi kwa muda wa miezi sita.

Kwakeli tuliweza kuvumilia miezi miwili tu yani 12 na 1. Kufikia mwezi wa 2 tukaanza kufanya mapenzi watu wakaniambia sintachelewa kumpa mimba cha ajabu mpaka leo hola, hali inayo nichanganya sijui nifanyeje.

Kwahiyo naomba dada yangu unishauri jinsi ya kufanya ili nimpe mimba mkewangu. Nakama kuna tatizo kati ya mmoja wetu (mimi na mkewangu) pia naomba unishauri
 
Ndugu yangu Kitoabu, tafadhari nipigie simu katika namba yangu 0714755582 tuongee ili tukutane tulimalize tatizo hili.
 
Ndugu yangu Kitoabu, tafadhari nipigie simu katika namba yangu 0714755582 tuongee ili tukutane tulimalize tatizo hili.
Tatizo niko nje ya TZ ndio maana nikakuomba kama ikiwezekana unishauri tu, sababu nilijua hatuwezi kuonana
 
Tatizo niko nje ya TZ ndio maana nikakuomba kama ikiwezekana unishauri tu, sababu nilijua hatuwezi kuonana
Sawa Ndugu nimekuelewa. Upo nchi gani? naweza kukutumia dawa popote ulipo, kama upo tayari nipatie mawasiliano yako katika simu yangu hiyo. Nitumie pia email yako naweza kukutumia maelezo mengine. Ni mara chache sana nakuwa online.
 
tiba ya kijiditali?
 
Habari yako dada upendomia mimi nina.miaka.miwil sijabahatika kupata mtoto jee unaweza kunsaidia kwa tatzo hili
 
Habari yako ndugu, Je unaweza kumtibu mtu ambaye mirija yake imeziba pia?
 
Habari yako dada upendomia mimi nina.miaka.miwil sijabahatika kupata mtoto jee unaweza kunsaidia kwa tatzo hili

Inawezekana kabisa ndugu yangu, upo wapi? nipigie tuongee.
 
Huyo ndiyo rahisi kupona kuliko wote kwa tiba zangu, aje tu na atapona kwa hakika.

Habari yako ndugu, Je unaweza kumtibu mtu ambaye mirija yake imeziba pia?
 
Nimefurah kuskia hvo.mimi kwa sasa siko tz lkn.mwez wa june nategemea kurud nahis mbali nataman.leo nipate matibabu
 
Mimi mke wangu amejifungua watoto 2 wote sio riziki unaweza kunisaidia?1 alifariki na mwaka 1na miezi 9 mwaka 2009,wa 2 akafariki na miezi 4. Mwaka 2010.hawajaugua hata kidogo. Mpaka leo mke wangu hajapata mimba.utaweza kunisaidia?
 
Pole sana ndugu, naweza kumtibu/kuwatibu na mkapata tena mtoto isipokuwa tu siwezi kutibu kifo. Ningefurahi kama tungeonana, nipigie simu.

Mimi mke wangu amejifungua watoto 2 wote sio riziki unaweza kunisaidia?1 alifariki na mwaka 1na miezi 9 mwaka 2009,wa 2 akafariki na miezi 4. Mwaka 2010.hawajaugua hata kidogo. Mpaka leo mke wangu hajapata mimba.utaweza kunisaidia?
 
Sawa, hakikisha tunawasiliana mapema utakapokuwa umerudi tanzania ingawa pia naweza kukutumia dawa ulipo kama utakuwa na mawasiliano.

Nimefurah kuskia hvo.mimi kwa sasa siko tz lkn.mwez wa june nategemea kurud nahis mbali nataman.leo nipate matibabu
 
Weeeewe! Hufuati maelekezo ya doctors! Hawakuwaelewesha why msitishe kukutana kimwili kwa muda fulani?
 
tunakutakia mafanikio mema kwenye tiba zako. nawale mtakao pata matibabu msisite kuleta hapa feedback
 
Nakutakia kila la kheri na mungu akupe nguvu ya kuwahudumia wenye matatizo haya kwa moyo wa kujitoa zaidi maana matatizo haya yamekuwa na simanzi kwenye ndoa nyingi.
 
Dada, Mungu akubariki sana sana sana, hivi ninavyoandika kwangu wife mambo yameshajipa ni karibu wiki sasa. Ninakuandalia zawadi babu kubwa na nitakuletea hivi karibuni Mungu akulinde. Hongera pia kwa jf kwa kutuweka pamoja.
 
All the best upendomia, kama ni kweli, isije ikawa kama kile kikombe cha babu wa loliondo!!
 
Nashukuru sana ndugu kwa mchango wako mzuri, Kimsingi ninao tayari ambao wameshafanikiwa bahati mbaya wengi hawawezi kuja katika internet lakini ukihitaji namba zao na mahali walipo wasiliana na mimi. Pia kama ulivyoshauri hapa ni vema na ni uungwana kwa anayefanikiwa alete majibu hapa kwa manufaa yangu na wengine pia.

tunakutakia mafanikio mema kwenye tiba zako. nawale mtakao pata matibabu msisite kuleta hapa feedback
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…