Kwa wale wenye matatizo ya kutopata watoto/uzazi

Kwa wale wenye matatizo ya kutopata watoto/uzazi

Ahsante ndugu, hiki si kikombe cha loliondo na wala mimi simpi mtu kikombe 1 akapona, babu na mimi ni vitu 2 tofauti kabisa. Jitahidi pia kuziondoa hizo negativity kwa kila jambo kwako, siku nyingine utakosa mambo mazuri.

All the best upendomia, kama ni kweli, isije ikawa kama kile kikombe cha babu wa loliondo!!
 
Ndugu, Mungu awe nawe pia. Ni furaha kwangu kusikia hivyo. Wa kupewa sifa na utukufu ni yeye aliye juu ambaye ndiye daktari mkuu. Karibu sana.

Dada, Mungu akubariki sana sana sana, hivi ninavyoandika kwangu wife mambo yameshajipa ni karibu wiki sasa. Ninakuandalia zawadi babu kubwa na nitakuletea hivi karibuni Mungu akulinde. Hongera pia kwa jf kwa kutuweka pamoja.
 
wanajamvi nimeoa mwaka 2009 mpaka leo hatujajaliwa kupata mtoto,ctumekwenda hospital zaid ya tano tumefanya vipimo wote tuko sawa,nikaamua kutafuta mitishamba mke wangu ameinywa mpaka namuonea huruma,maelewano hayapo baina ya mke wangu na ndugu zangu wanataka wanitafutie binti nizae naye!siko tayari kumsaliti mke wangu.dada naomba msaada wako!
 
Pole sana ndugu. Upo wapi?, nitafute kwa namba hii 0714755582 tatizo hili litapata ufumbuzi kwa hakika. Nipigie.

wanajamvi nimeoa mwaka 2009 mpaka leo hatujajaliwa kupata mtoto,ctumekwenda hospital zaid ya tano tumefanya vipimo wote tuko sawa,nikaamua kutafuta mitishamba mke wangu ameinywa mpaka namuonea huruma,maelewano hayapo baina ya mke wangu na ndugu zangu wanataka wanitafutie binti nizae naye!siko tayari kumsaliti mke wangu.dada naomba msaada wako!
 
Dada upendo mbona silupati kwenye simu? nimekutumia msg, tafadhali naomba namba zako niyngine kama unazo.Asante.
 
Pole ndugu, nimechelewa kufunguwa simu lakini bilashaka tumeshaongea, ukiona kimya nitumie ujumbe wa siri humu (PM).

Dada upendo mbona silupati kwenye simu? nimekutumia msg, tafadhali naomba namba zako niyngine kama unazo.Asante.
 
wanajamvi nimeoa mwaka 2009 mpaka leo hatujajaliwa kupata mtoto,ctumekwenda hospital zaid ya tano tumefanya vipimo wote tuko sawa,nikaamua kutafuta mitishamba mke wangu ameinywa mpaka namuonea huruma,maelewano hayapo baina ya mke wangu na ndugu zangu wanataka wanitafutie binti nizae naye!siko tayari kumsaliti mke wangu.dada naomba msaada wako!

Nenda Dar IVF clinic Mikocheni karibu na clouds radio utapata msaada mkuu
 
Bado huduma hii ipo. Kuna mmoja ameshatoa hela yupo mkoani natakiwa kumtumia dawa awamu ya pili lakini kazima simu, tafadhari kama unanisoma hapa washa simu tuwasiliane au ndiyo tayari?
 
Waungwana, nimeibiwa simu yangu mchana huu, muda huu nahangaikia kuirudisha hewani namba yangu +255714755582, kama itakawia jioni nitatoa line nyingine, kumradhi kwa watakaonikosa mchana huu lakini narudi hewani muda si mrefu.
 
Nimefanikiwa kurejeshewa namba yangu kwahiyo napatikana kwa sasa +255714755582
 
[QUOTE=Upendomia; je niweza kupata dawa ya cisty na faibroid na je kunauwezekano wa kushika ujauzito?
 
Nimepimwa nimea mbiwa nina cist na faibroid je unaweza kunisaidia kupona na kuweza kushika mimba? Niko mwanza

Fibroid tiba yake ni moja tu: OPARESHENI. tewa wahi mapema dada. Nenda pale Temeke Hospital ulizia Dr. Chipata, yeye amebobea kwenye Afya ya Uzazi & Upasuaji kwa akina mama. Ana clinic (kwa ajili ya upasuaji wa fibroid tu) yake binafsi ipo pale maeneo ya Temeke Mwisho. Naweza kukutumia namba yake kama utahitaji. Naona siku hizi hili tatizo la Fibroid linazidi kuwakumba akina mama wengi, ukienda kwenye hiyo clinic utakuta foleni kubwa sana ya akina mama kila siku. Mimi nina ndugu yangu kabisa (mama mdogo) nusu tumpoteze. Alipata tumbo kubwa akadhani ni mimba, then ikamtokea akawa ana 'bleed' kila mara mpaka akaishiwa damu. Ndo mama mmoja hivi ndo akatupa izo habari za fibroid na huyo Dr. kumpeleka pale kweli akakutwa na fibroid kubwa tumboni. Akafanyiwa upasuaji, na mpaka leo hii yuko mzima sana wa afya.
 
Pole mkuu, bilashaka tumeshamalizana. Watu wenye tatizo kama lako ndiyo wanapata matokeo mazuri haraka zaidi kwa dawa zangu, ninauhakika nawe hutakawia kuona matokeo mazuri. Mhimu ufuatilie kwa karibu masharti ninayokuandikia ili siyo upone tu bali tatizo hilo lisikurudie tena maishani.

Back
Top Bottom