Kwa wale wenye matatizo ya kutopata watoto/uzazi

Habarini wapendwa, Kuhusu swala la kuambiwa kutokufanya mapenzi kwa miezi sita nadhali halikuwa na ukweli (ushauri haukuwa sahihi kwa walengwa). Kawaida baada ya mimba kutoka kimamilifu (complete abortion) au kama haikutoka yote (incomplete abortion) na kuhitaji kusafishwa(D&C), swala la kufanya mapenzi zilinaweza kuendelea baada ya wiki mbili hadi nne ikiwa hakutakuwa na tatizo kwa mama mfano kutokwa damu, kutokwa uchafu unaotoa harufu au maambukizi. Cha msingi kinachosisitizwa ni kutumia njia ya kuzuia mimba ambayo mmekubaliana na baada ya maelekezo kutoka kwa mtumishi wa Afya(health care worker). Sababu ya kujizuia kupata mimba kwa kipindi hichi cha miezi sita ni kuhakikisha kuwa afya ya mama inakuwa njema kimwili na kiakili kabla ya kubeba ujauzito mwingine. Ni hakika kuwa kutokwa na mimba kunaweza kupelekea mama kupoteza damu nyingi na hata kupata msongo wa mawazo pia. Naomba kuwasilisha kwa nia njema kabisaaa.
 
mimi ndoa yangu ina miaka mitatu tumepima vipimo nikakutwa na tatizo la low sperm count ila wife yuko fresh temjaribu ivf mara mbili imeshindikana yaan wife yai halikujipandikiza kanywa dawa za kienyeji mpaka namihurumia je nawza kupata dawa?
 
Sina uhakika kama tulishawahi kuliongea hili katika simu, kama bado nipigie sasa.

mimi ndoa yangu ina miaka mitatu tumepima vipimo nikakutwa na tatizo la low sperm count ila wife yuko fresh temjaribu ivf mara mbili imeshindikana yaan wife yai halikujipandikiza kanywa dawa za kienyeji mpaka namihurumia je nawza kupata dawa?
 
naomba kuuliza dada vipi kwa mwenye tatizo la kutopata hedhi kabisa na mimba haziingii unaweza kumsaidia. nina ndugu yangu ameolewa huu mwaka wa 5 ana tatizo hilo.
 
Atapona tu ila ningependa kuonana naye ana kwa ana tuongee vya kutosha kwanza kwani kuna mengine nitakuuliza hapa na utashindwa kunijibu.

naomba kuuliza dada vipi kwa mwenye tatizo la kutopata hedhi kabisa na mimba haziingii unaweza kumsaidia. nina ndugu yangu ameolewa huu mwaka wa 5 ana tatizo hilo.
 
mimi ndoa yangu ina miaka mitatu tumepima vipimo nikakutwa na tatizo la low sperm count ila wife yuko fresh temjaribu ivf mara mbili imeshindikana yaan wife yai halikujipandikiza kanywa dawa za kienyeji mpaka namihurumia je nawza kupata dawa?

mkuu hapo nilipo-bold unatakiwa wewe kama mwanaume upafanyie kazi..kula sana karanga na sea food kukuza sperm count plus mazoezi kiasi.

Acha pombe soda na vinywaji vya makopo, angalia aina ya underpants unazotumia zisiwe zinazobana korodani na possibly kazi unayofanya isiwe inayoinvolve mionzi au kemikali..hivi vitu vinashusha sana uzalishaji wa mbegu..

Pia punguza stress mungu atasaidia utafanikisha kiu ya haja zako...muamini pia mungu coz kila kitu huwa kinatutokea for reasons.
 
Hizo dawa ni za kienyeji au?samahani lakini dada Upendo
 
Duuu!kweli jf kuna watu aina mbalimbali ivi kwa nini mtu usianzishe uzi wako na kutoa dawa badala yake unadandia treni mbele!
 
jamani mimi nipo dar nina tatizo la kutoa shahawa kidogo tena hazija komaa 0777944525
 
Dada upendo mm nimeoa mwaka 2010 na bahati nzur mke wangu hakujaaliwa kushika mimba hadi january 2011, alifanikiwa kujifuogua sept.bila matatizo mapacha but watoto walikuwa low weight so niliwalea wiki2 na wakafariki wakipishana wiji moja.baada ya hapo mke wangu haja shika mimba tena,tatumii kilevi chochote,wala madawa yeyote ya chemicals blood group yangu ni A>rh+ve nae pia A>rh+ve.je tatzo nn jaman?
 
Kama alipata mara ya kwanza, atapata tu hata sasa. Ningependa kuonana nanyi kama mpo Dar. Naomba unipigie simu kuanzia jtatu tr 12/08/2013 kwani nimesafiri kidogo kwa wiki 1.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…