Kwa wale wenye matatizo ya moyo, kuhisi dhiki ya maisha ,huna raha ,kula ndizi mbivu ndiyo dawa

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363


Kwa Wale wenye Ugonjwa Wasiwasi na dhiki ya moyo hauna raha kwa ajili ya kitu fulani unakitaka lakini hupati pendelea kula ndizi ndio Dawa itakuponyesha kutwa mara 3 Asubuhi mchana na usiku.

 
Asante mtaalamu MziziMkuu,nitaifanyia kazi hiyo elimu ya afya.
 


Kwa Wale wenye Ugonjwa Wasiwasi na dhiki ya moyo hauna raha kwa ajili ya kitu fulani unakitaka lakini hupati pendelea kula ndizi ndio Dawa itakuponyesha kutwa mara 3 Asubuhi mchan na usiku.

Nahisi kama ni porojo hizi, inawezekanaje?mtu anahitaji kitu fulani (phyical based) na kila siku nakosa raha kwa kutokipata na hivyo inaniletea wasiwasi (saikolojia). Wewe unanimbia nile ndizi? Vitamini gani vilivyomo kwenye ndizi huondoa tamaa, wasiwasi au nia?
 
Usipinge kitu usicho kijuwa na elimu nacho fanya uchunguzi kwanza usije ukapata Division Five tafadhali nyinyi Wa-Danganyika ndivyo mlivyo. Mumezoea kudanganywa na Viongozi wa kisiasa basi mnaona hata kwenye Jukwaa la Afya mnadanganywa kila mtu munamuona anadanganya jina lenu Wadanganyika mliodanganywa zamani hahahahah kazi kweli ipo hapo. Asante kwa kuchangia pumba zako.
 


Kwa Wale wenye Ugonjwa Wasiwasi na dhiki ya moyo hauna raha kwa ajili ya kitu fulani unakitaka lakini hupati pendelea kula ndizi ndio Dawa itakuponyesha kutwa mara 3 Asubuhi mchan na usiku.

Thanks MziziMkavu!
Maradhi ya wote hayo!
 
Shukrani MziziMkavu. Ndizi itakuwa bidhaa adimu sasa na bei yake ita shoot maana tayari ni dawa licha ya kutumika pia kwa wale wanaolamba kilaji kwamba ikata harufu na Hang over :coffee:
 
Last edited by a moderator:
Dr naomba nifafanulie..nikila ndizi itaondoa hiyo tamaa???au nia?? mfano ninakosa raha labda kwa sababu sina hela kumpeleka mwanangu kwa elimu ya juu..... labda biashara haziendi sawa au kipato kidogo..yani sina rahaaa....unanambia nile ndizi mbivu
 


Inaweza kuwa pumba maana nimehoji, wasomi wetu wa siku hizi mnataka tukubali kila kitu. Eti ukihoji unaambiwa huna taaluma hii. Kila mtu ana taaluma na kalama zake ambazo hutofauti na mwingine, tena zingine zinahitaji kutumia akili na busara. Achilia mbali hizi za kwako unazo okota okota kwenye mitandao. Hii hata mimi muuza bagia naweza, siku zote nimekuwa naenda kwenye source baada ya wewe kupost nyuzi zako, bahati mbaya zingine hazina hata maelezo ni picha tu ambayo umekopy na kupest kama kilaza. Link hiyo chini ndo uliko-copy hii pumba.

Stress relief | Wellbeing | Pinterest

Nyingine ume-copy hapa

http://www.livestrong.com/article/505406-top-ten-health-benefits-of-bananas/

Toa majibu yanisaidie, sio kujifanya mwanataaluma wa kuogopwa. Tiba mbadala ilianza tangu mababu, acha hii ya kuiba iba mitandaoni. Sorry! Nimekuwa mkali kidogo ila utani tu
 
Dr naomba nifafanulie..nikila ndizi itaondoa hiyo tamaa???au nia?? mfano ninakosa raha labda kwa sababu sina hela kumpeleka mwanangu kwa elimu ya juu..... labda biashara haziendi sawa au kipato kidogo..yani sina rahaaa....unanambia nile ndizi mbivu

Imekaa kinadharia kweli......
 
Mmmmh apana? Apa ndo nime ambiwaga vyote nivisomavyo sio ni vi amini asilimia zote duh mbona kwetu uchagani wanakula kila aina ya ndiz kisukari cjui nini na watu wana ishi na izo stress mpaka zina wauwa mmh haya bana wazungu nao kwa kutufunga funga hawajambo mpaka wana tuita danganyikeni mmh nawe mzizi mbichi bana kweli umo but punguza bana izo tafit zingine zilijaribiwa kwa mtu moja tu sasa we ukija hapa unajumuisha ni watu wote akati bina damu tunatofautiana tena sana so tusi fumbane bana ata kama shule hatuijaenda but tuwekane sawa mambo ya kugandamizia na kukariri muwe mna angalia sio vyote mna tuletea tumeze?
 
Dr Mzizimkavu nasubiri nduguyo stress zatuua......ndizi huku niliko bei cheeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…