Kwa wale wenye tatizo la kuwa na uume mdogo, dawa imepatikana!!!

Unasema Dawa haina madhara je umekwenda kuipima kwa wahusika wa Madawa yaani mkemia mkuu wa Serikali? Au unatakiwa dawa yako kwanza uipeleke hapa ( Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) ili ithibitishwe Dawa yako haina madhara ndio uje hapa ututangazie Dawa yako pasipo na hivyo Dawa yako inaweza kuwa ni hatari kwa afya za binadamu. Huo ni ushauri wangu binafsi asante.
 
umetibu wangapi? au yale yale utaperi
 
Duh asubuhi kabla ya kuamka?mim naona watu wangeridhika tu na kile walichonacho..
 

Kwa Tanzania mtawapata wengi kwa utapeli huu .
 
Matapeli wakubwa ninyi. Nawasihi watanzania wenzangu tuachane na matapeli njaa hawa. Hakuna kitu cha aina hiyo. Ni upuuzi tena upuuzi hasa.
 
Wabongo bwana wanaendekeza njaa hakuna lolote cha kuongezeka wala nini
 
duh!!, :frusty: Sasa mtu atakunywaje dawa kabla hajaamka.....au anatakiwa anywe akiwa usingizini
 
wallah mtatuua safari hii!!hakyanani vile, kuna mwingine hapo pembeni naye ameleta supa shaft ya kidizaini fulani!! Huu mwaka wa wanaume!! mbona hamuwaletei wadada za kupunguza sehemu zao??HE!! Nimeshutuka mangi! Munataka mupunguze wanaume nyie watu,
 
Ni hatari sana kuchezea afya za watu.... Naona kila mtaa kuna rundo la madaktari (waganga wa jadi). Waganga ni wengi; wanaongezeka arithmetrically; na wagonjwa wanaongezeka geometrically.Ili hali takwimu zinaonyesha daktari mmoja anahudumia watu 30,000. Wajinga ndio waliwao.
 

 
TUAMBIE KUWA UMEPELEKA DAWA YENU KWA TFDA ili kuthibitisha side effects broo mbona hujibu maswal ya msingi ?
 
ye mwenyewe anaeuza huenda ana tatizo hilo sasa zimemdodea kaamua aziilete humu...Tumia likirefuka ulete ushuhuda ili watu wanunue
 
Piga picha kitu chako uweke hapa tuone ulivyorefusha........hahahahaha. Halafu nani kakwambia uume mrefu na mpana ndo dili. Watu wana vitu vidogo lakini ni kifimbo cheza!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…