Kwa wale wenye tatizo la kuwa na uume mdogo, dawa imepatikana!!!

Tatizo Hili la maumbile madogo limekua likiwasumbua wengi, wengi wao wakiwa na maumbile hayo tangu kuzaliwa, kwa bahati mbaya dawa nyingi zinzotangazwa magazetini kuwa zinakuza huwa ni za kuongeza nguvu tu. Dawa yetu hii ya mnyumbu ni ya miti shamba ina kazi moja tu ya kurefusha na kunenepesha uume kwa muda usiozidi wiki moja. Kwa kiwango cha ziada kwa ich 3-hadi 4 kutoka umbile ulilokua nalo awali. Pia unaweza kusitisha dozi baada ya kufikia saizi unayoitaka wewe kwa unene na urefu. Tunapatikana machimbo mwisho wa lami stendi ya mabasi.unaweza kufika ofisini kwetu. Bei ya dawa hii ni sh 45,000 kwa wale wa mikoani na 40,000 kwa hapa dar es salaam. Dawa hii haina madhara kwa mtumiaji. Na pia muda wa matumizi yake ambayo ni asubuhi kabla ya kuamka na jioni kabla ya kulala tunapatikana kwa namba 0757430913. Kwa wale wa mikoAni tunatuma kwa njia ya basi kama parcel......
Unasema Dawa haina madhara je umekwenda kuipima kwa wahusika wa Madawa yaani mkemia mkuu wa Serikali? Au unatakiwa dawa yako kwanza uipeleke hapa ( Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) ili ithibitishwe Dawa yako haina madhara ndio uje hapa ututangazie Dawa yako pasipo na hivyo Dawa yako inaweza kuwa ni hatari kwa afya za binadamu. Huo ni ushauri wangu binafsi asante.
 
Duh asubuhi kabla ya kuamka?mim naona watu wangeridhika tu na kile walichonacho..
 
Tatizo Hili la maumbile madogo limekua likiwasumbua wengi, wengi wao wakiwa na maumbile hayo tangu kuzaliwa, kwa bahati mbaya dawa nyingi zinzotangazwa magazetini kuwa zinakuza huwa ni za kuongeza nguvu tu. Dawa yetu hii ya mnyumbu ni ya miti shamba ina kazi moja tu ya kurefusha na kunenepesha uume kwa muda usiozidi wiki moja. Kwa kiwango cha ziada kwa ich 3-hadi 4 kutoka umbile ulilokua nalo awali. Pia unaweza kusitisha dozi baada ya kufikia saizi unayoitaka wewe kwa unene na urefu. Tunapatikana machimbo mwisho wa lami stendi ya mabasi.unaweza kufika ofisini kwetu. Bei ya dawa hii ni sh 45,000 kwa wale wa mikoani na 40,000 kwa hapa dar es salaam. Dawa hii haina madhara kwa mtumiaji. Na pia muda wa matumizi yake ambayo ni asubuhi kabla ya kuamka na jioni kabla ya kulala tunapatikana kwa namba 0757430913. Kwa wale wa mikoAni tunatuma kwa njia ya basi kama parcel......

Kwa Tanzania mtawapata wengi kwa utapeli huu .
 
Matapeli wakubwa ninyi. Nawasihi watanzania wenzangu tuachane na matapeli njaa hawa. Hakuna kitu cha aina hiyo. Ni upuuzi tena upuuzi hasa.
 
Wabongo bwana wanaendekeza njaa hakuna lolote cha kuongezeka wala nini
 
duh!!, :frusty: Sasa mtu atakunywaje dawa kabla hajaamka.....au anatakiwa anywe akiwa usingizini
 
wallah mtatuua safari hii!!hakyanani vile, kuna mwingine hapo pembeni naye ameleta supa shaft ya kidizaini fulani!! Huu mwaka wa wanaume!! mbona hamuwaletei wadada za kupunguza sehemu zao??HE!! Nimeshutuka mangi! Munataka mupunguze wanaume nyie watu,
 
Ni hatari sana kuchezea afya za watu.... Naona kila mtaa kuna rundo la madaktari (waganga wa jadi). Waganga ni wengi; wanaongezeka arithmetrically; na wagonjwa wanaongezeka geometrically.Ili hali takwimu zinaonyesha daktari mmoja anahudumia watu 30,000. Wajinga ndio waliwao.
 
Tatizo Hili la maumbile madogo limekua likiwasumbua wengi, wengi wao wakiwa na maumbile hayo tangu kuzaliwa, kwa bahati mbaya dawa nyingi zinzotangazwa magazetini kuwa zinakuza huwa ni za kuongeza nguvu tu. Dawa yetu hii ya mnyumbu ni ya miti shamba ina kazi moja tu ya kurefusha na kunenepesha uume kwa muda usiozidi wiki moja. Kwa kiwango cha ziada kwa ich 3-hadi 4 kutoka umbile ulilokua nalo awali. Pia unaweza kusitisha dozi baada ya kufikia saizi unayoitaka wewe kwa unene na urefu. Tunapatikana machimbo mwisho wa lami stendi ya mabasi.unaweza kufika ofisini kwetu. Bei ya dawa hii ni sh 45,000 kwa wale wa mikoani na 40,000 kwa hapa dar es salaam. Dawa hii haina madhara kwa mtumiaji. Na pia muda wa matumizi yake ambayo ni asubuhi kabla ya kuamka na jioni kabla ya kulala tunapatikana kwa namba 0757430913. Kwa wale wa mikoAni tunatuma kwa njia ya basi kama parcel......

ImageUploadedByJamiiForums1389944536.591015.jpg
 
Tunaamini kabisa! Wote wenye kauli chafu na za kejeli si wahitaji wa dawa yetu hii dawa ya kurefusha na kunenepesha uume, unategemea watu waliotumiwa dawa kuja kutoa ushuhuda humu? hatuwezi pia kutaja majina yao, kwa mmoja mmoja maana ni wengi, pia ni kuingilia uhuru binafsi wa mtu. Ni vigumu sana kufahamu ukweli kuhusu dawa yetu hii kama kweli huna tatizo hili utaona kama maigizo. Usanii uko wapi kwa hili? Tuna duka la dawa za asilia toka ndani na nje ya nchi ikiwamo hii ya kupaka toka uganda lililopo hapa yombo-machimbo stendi ya daladala. Kama wewe ni muhitaji tupigie 0757 430913. Utapewa maelezo juu ya namna ya kupata hizi dawa. Kazi njema Undugu
TUAMBIE KUWA UMEPELEKA DAWA YENU KWA TFDA ili kuthibitisha side effects broo mbona hujibu maswal ya msingi ?
 
ye mwenyewe anaeuza huenda ana tatizo hilo sasa zimemdodea kaamua aziilete humu...Tumia likirefuka ulete ushuhuda ili watu wanunue
 
Piga picha kitu chako uweke hapa tuone ulivyorefusha........hahahahaha. Halafu nani kakwambia uume mrefu na mpana ndo dili. Watu wana vitu vidogo lakini ni kifimbo cheza!!
 
Back
Top Bottom