Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Je mwaka 1961 au mwaka 1970? Watu wengi watafeli hapo......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ina maana wewe Mkuu Rungu umepita miaka 50?1961
Haswa; tena sana tu.ina maana wewe Mkuu Rungu umepita miaka 50?
Kumbe Mzee Mwenzangu mimi pia nimepita miaka 50 hongera kaka Rungu.Haswa; tena sana tu.
Tusingekuja dar ingekuwa kama Tanga, waswahili kwa uvivu hakuna Mfano...Umetupeleka mbali sana.
Hiyo ndiyo Dar yetu. Sasa imechafuliwa sana na wakuja.