Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Magari yalikuwa machache kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
heshima kwako mzee, endelea kujumuika na sisi kwenye hii jamiiforumsHaswa; tena sana tu.
Tusingekuja dar ingekuwa kama Tanga, waswahili kwa uvivu hakuna Mfano...
Umetupeleka mbali sana.
Hiyo ndiyo Dar yetu. Sasa imechafuliwa sana na wakuja.
Duh kwani huku wapo wa umri huo mkuu?
Je mwaka 1961 au mwaka 1970? Watu wengi watafeli hapo......
Umeadisiwa au uliona?Hapa 1960's na VW na Morris zinazuguuka sanamu ya Bismini & Haji brother ilikuwa maarufu kwa kuuza saa za mkononi siku hizi hilo duka kuna Benki ya Posta.
ShkamooKumbe Mzee Mwenzangu mimöi pia nimepita miaka 50 hongera kaka Rungu.
Ndugu , Mbona vipo tulivyovijenga na kustawisha....Umeadisiwa au uliona?
Je mwaka 1961 au mwaka 1970? Watu wengi watafeli hapo......
Historiya ndefu na taamu kupita makadirio ya fahamu zetu !! baadhi ya shule Breakfast na mid Lunch shuleni !!Hongereni mliokula chumvi, na ahsanteni kwa kutupatia historia.
Duh kwani huku wapo wa umri huo mkuu?
Hahaha du!Mmetuchafulia jiji letu, mlipotokea mlikuwa hata vyoo hamvijui.
Enzi hizo tulikuwa tunawaleta kama manamba tu.
Very interesting, wa dotcom tumepitwa na mengiHistoriya ndefu na taamu kupita makadirio ya fahamu zetu !! baadhi ya shule Breakfast na mid Lunch shuleni !!
Hospitali lipo file la familiya kuanzia mtoto wa mwanzo hadi wa tisa au kumi (kizazi bora na imara)!!
Elimu A~z english !! College na Universitez unapelekwa ulaya/US/CAD na majuu...(FOC)
Michezo ya viwango vyote na Ubingwa Tanganyika ilikuwa ikiongoza sub)sahara...
Politics tumeshika hadi baraza la Usalama na kugombea ukatibu mkuu UN!!
gari unamiliki kwa kuanzia Ts.500/-
Pikipiki scooter/vespa Ts 150/-
bysiceli Raleigh ts 30-45/- !!
Viwanja vya ndege, reli, madaraja za kimataifa na kudumu kusastain EarthQuake na disastours
WEE chezea British Coloni (wakoloni Mungu awabarikie na wadumu kuilinda Dunia hii forever)
Mkuu STORYz ni ndefu sana .....
MziziMkavu hebu mwaga picha bhana....