Kwa wale wenye umri wa miaka 50 na kuendelea unakumbuka jiji la Dar mwaka gani?

Hii picha ingepigwa leo, basi RITA TOWER ingeleta mvuto pale kwa mbele kidogo. Hongereni mliovuta above 50. Sie wengine twaweza comment mid 80s ndipo akili ilikaa ingalau.
 
ongera Mzee mwenzangu, kutukumbushia Dar ya miaka ya 60.

Wengi wa vijana wa leo hawajui istoria ya tulipotoka.

Kipindi kile jiji lilikuwa safi tofauti na sasa, vijana wanakula lamba lamba za mzee bakresa na kutupa hovyo hovyo taka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…