Kwa wale wenye upungufu wa nguvu za kiume, kuleni Lozi na maziwa kila siku

Punguzeni chips yai vijanaaaa....aibu sana kijana bila kujibusti game halichezeki...hahaa.
 
Kwa iyo karanga ni cha mtoto!
Karanga mbichi aka njugu haziwezi kufua Dafu kwa Lozi Kiboko yao

Lozi (Almond):

Lozi inajulikana kama ni King katika jamii ya njugu, ina elements karibia ya zote

zinazohitajika katika mwili wa mwanadam. Ni chakula chenye kutia nishati mwili na akili.

Kuna aina mbili za Lozi, kuna lozi zile tamu na kuna lozi chungu kuna zenye ngozi nyembamba

(thin-skinned) na kuna zenye ngozi nene(thick-skinned) hii ni katika aina ya lozi tamu ambazo

ndio tunazozitumia na tunahitajika kutumia ama zile lozi chungu zina prussic acid ambayo ni

sumu hata hivo hizo lozi chungu zinatumika katika mambo ya kutengenezea cosmetics, mafuta

ya lozi (almond oil) pia na perfumes.


Nchi mashuhuri yenye Lozi ni Morocco, pia lozi zilionekana katika miaka mingi nyuma katika

nchi ya Syria na Palastine inasemekana katika zama za Nabii Issa A.S. Hata hivo sasa hivi lozi

zinazalishwa sehemu nyingi duniani kama Italy,California,Australia,Sou th Africa,Kashmir na

sehemu nyingi za Asia.


Food Value: Minerals and Vitamins
Moisture 5.2% Calcium 230 mg
Protein 20.8% Phosphorus 490 mg
Fat 58.9% Iron 4.5 mg
Minerals 2.9% Niacin 4.4 mg
Fibre 1.7%
Carbohydrates 10.5%


Ndani ya lozi pia kuna upatikanaji wa copper, iron phosphorus na Vitamin B, vitu hivi

vinasaidia katika upatikanaji wa new blood cells, haemoglobin pia inasaidia ubongo, mishipa,

mifupa, moyo na ini kufanya kazi kwa wepesi kabisa. Lozi insaidia kupanua na kutia nguvu

muscles za ubongo katika kuongeza fahamu.


Old ages:Utu uzima wa kiumri.
Chukua lozi kiasi na uziroweka katika maji na baadae utoe ngozi yake ikisha uzisage na kufanya paste kwa kutumia kama siagi, hii huongeza proteins ndani ya mwili na hasa kwa watu wazima, pia unaweza kutia katika maziwa na ukanywa hii nzuri kwa watoto.

Anaemia: upungufu wa damu
Kuna upatikanaji wa copper katika lozi katika rate 1.15mg per 100 grams, copper pamoja na iron na vitamins hizi zinatumika kama ni catalyst katika mfumo wa blood haemoglobin. Kwa hiyo wenye maradhi ya upungufu wa damu ni vizuri mtu kutumia lozi kwa sana.

Constipation:kupata choo
Kwa wale wenye matatizo ya kupata choo, ni uzuri kula lozi wakati wa usiku kabla ya kwenda kulala.

Impotency:upunguvu wa nguvu za kiume
Kwa wale wenye upunguvu wa nguvu za kiume na za kike, wale lozi kwa wingi.


Skin Disorder:maradhi ya ukoma
Kwa wale wenye maradhi ya ukoma, wasage lozi iwe laini ikisha wajipake pale palipoathirika, na pia kwa wale wenye pimples.


 
Samahan mkuu nipe maelezo vzr ili ntengeneze.
 
Kutumia lozi na maziwa hivi vina mafuta. Hivi vinachangia kuongeza cholesterol mwilini hasa maziwa. Haya yanachangia sana kupunguza nguvu za kiume. Kwa sababu kuongeza cholesterol kunaongeza risk ya kupata shinikizo la damu yaani hypertension, hii husababisha damu kwenda kweny viungo vya pembezoni yaani peripheral blood supply inakuwa poor mfano kweny uume na hivyo kusababisha uume hauwezi kusimama. Lakini pia matumizi ya maziwa kila siku Yana kiwango kikubwa cha protein na sukari hivi husababisha misuli kuongezeka na hivyo kuwa na uzito mkubwa hii husababisha kuchangia magonjwa ya hypertension lakini na kisukari pia kisukari husababisha damu kutofika pembezoni yaani peripheral blood supply. So kutumia haya mnayoshauriana yanaweza ongeza risk ya upungufu wa nguvu za kiume kuliko katibu.
 
Nguvu za kiume tunatibu kwa kutumia vitu vya asili yaani matumizi ya samaki, dagaa, karanga, mboga za majani kwa wingi na matunda, kufanya mazoezi kila siku angalau dk 30 kila siku. Matumizi ya mahindi mabichi kande, punguza matumizi ya fried foods. Punguza stress na kutojiamini kwenye mapenzi. Upungufu wa nguvu za kiume sababu kubwa ni psychological hasa kubwa ni kutojiamini au kupania sana mademu. These are the factors. Nimetibu watu wengi sana na wataendelea vizuri. Lakini pia nawafundisha namna ya kufanya mwanamke afike kileleni. Baada ya hapo wengi hujiamini. Na kupigisha kwata la kutosha
 
Asanteni JF. Nimeelewa matumizi ya lozi tunda. Ndiyo maaana sijutii kuwa member wa JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…