Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
tukutane hapa tupeane maarifa ya kupunguza uzito ,kila siku tutaapdate kwa kila mmoja kuweka uzito wake ,pia tutapeana mlo wa siku .no cheating pls .kama unajijua wewwe ni muaminifu njoo nikuaadd tupeane maarifa
kupunguza uzito group
6 november 2016
members
1.miss natafuta 93kgs
2.Dimpo 96kgs
3.kedekede 90kgs
4.rebecca83 100kgs
6.incubu 51kgs
updates
tips za kupunguza uzito
no moja.
Epuka sukari,na vyakula vya wanga especially usiku.ni marufuku kula chips,wali ,ugali makande ,tambi ,chapati usiku
no mbili kutoka kwa mdau@Castr
Kuna mdau nimeona kasema mtu ujinyime kula (siyo upunguze kula) hili wazo wakati litakuhakikishia kupungua lakini hapo hapo litakua linakumalizia virutubisho mwilini (na kuna uwezekano mtu akapata bulimia).
Badala yake kula vyakula vyenye virutubisho tu kwa kiasi na epuka junk food, mfano Sammo Hung ili kupunguza mwili ili ashiriki filamu ya Eastern Condors kwa miezi mitatu alikua akila wali mkavu na kuku wa kukaanga tu.
Na pia usikimbilie kukata tumbo, anza na jogging/ trotting na mazoezi ya kustrecth kwanza. Baada ya muda ndiyo uanze kutrain kivingine.
tatu.kunywa kikombe cha green tea bila sukari
asubuhi
mchana na usiku
pia kunywa maji mengi at least lita mbili kwa siku
update!
kesho asubui
ukiamka kabla ya kuswaki maji nusu lita ya vuguvugu na vitunguu swaumu punje 11 tafuta
breakfast yetu itakuwa
mayai mawili
apple moja au nyaya moja
kikombe cha green tea kikubwa