Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Alipungua kwa kua alikua anafanya na mazoezi mengine pia (yeye ni martial artist). Kuangalia ufanano wake mtazame kwenye Meals on Wheels na hiyo Eastern Condors.sasa alipunguaje kwa kula wali ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alipungua kwa kua alikua anafanya na mazoezi mengine pia (yeye ni martial artist). Kuangalia ufanano wake mtazame kwenye Meals on Wheels na hiyo Eastern Condors.sasa alipunguaje kwa kula wali ?
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndo kilo ngapi hizi
kedekede 96kgs lakini uzito unaendana na height naskia!tukutane hapa tupeane maarifa ya kupunguza uzito ,kila siku tutaapdate kwa kila mmoja kuweka uzito wake ,pia tutapeana mlo wa siku .no cheating pls .kama unajijua wewwe ni muaminifu njoo nikuaadd tupeane maarifa
kupunguza uzito group
6 november 2016
members
1.miss natafuta 93kgs
2.Dimpo 96kgs
3.
4.
6.incubu 51kgs
updates
tips za kupunguza uzito
no moja.
Epuka sukari,na vyakula vya wanga especially usiku.ni marufuku kula chips,wali ,ugali makande ,tambi ,chapati usiku
no mbili kutoka kwa mdau@Castr
Kuna mdau nimeona kasema mtu ujinyime kula (siyo upunguze kula) hili wazo wakati litakuhakikishia kupungua lakini hapo hapo litakua linakumalizia virutubisho mwilini (na kuna uwezekano mtu akapata bulimia).
Badala yake kula vyakula vyenye virutubisho tu kwa kiasi na epuka junk food, mfano Sammo Hung ili kupunguza mwili ili ashiriki filamu ya Eastern Condors kwa miezi mitatu alikua akila wali mkavu na kuku wa kukaanga tu.
Na pia usikimbilie kukata tumbo, anza na jogging/ trotting na mazoezi ya kustrecth kwanza. Baada ya muda ndiyo uanze kutrain kivingine.
tatu.kunywa kikombe cha green tea bila sukari
asubuhi
mchana na usiku
pia kunywa maji mengi at least lita mbili kwa siku
Mkuu hawa watu wana kilo nyingi saana bora wenye 50 tupunguziweMi nina 50kg. Nipunguzien at least 15kg
ahahaa poleSipati picha kwenye huu uzi ingekuwa live nipo ndani ya hawa vibonge ingekuwa kichekesho kwa nilivyokimbaumbau.
acha tu mkuu najutaHadi unafikia 90kg's ulikuwa wapi?
Hizi shida nyingine mnajitakia tu aisee
chura kaka churaMiss Natafuta kumbe wewe ni heavy weight creature. OK natamani sana nikuone
ni kweli mkuu urefu wako upoje?kede ke
kedekede 96kgs lakini uzito unaendana na height naskia!
kimcharuko kivipi mkuu?Japokuwa hii thread imekaa kimcharuko mcharuko,nimeipenda.
Mama,chukua gwara hizo.
itagarimu hela ngapi mkuu ili nione kama nitaweza niombe uni add
tatizo whatsup group kusumbuana inbox tenaMi nashauri tuanzishe group watsap and tujadiliane uko naomba nianza kwa kutoa namba yangu 0769468965..nitumieni namba zenu nitafungua group kwa kushirikiana na miss natafuta ikiwezekana tutaanzisha na jonging club kwa wakazi wa Dar..karibu wote..namba mnitext namba msiandike hapa naweza nisione..text neno "Uzito" kuja kwenye namba yangu itstosha.!!
[emoji28][emoji28]sio namba mkuu ni hapa hapa sema uzito wako
Bae we Kg ngapi vile. Siku nyingi hatujapima. Hebu jikadirie nijue kama tuanze mazoezi ama la.Kama unataka kunenepa kunywa sana bia...
Waliopo kwenye ndoa wamenenepea hukombona wanawake wengi wanene wapo kwenye ndoa?
Nina 5 ft 13 inchesahahaa pole
acha tu mkuu najuta
chura kaka chura
ni kweli mkuu urefu wako upoje?