Kwa wale wenye uzito wa kilo 90 kwenda juu tukutane hapa

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
tukutane hapa tupeane maarifa ya kupunguza uzito ,kila siku tutaapdate kwa kila mmoja kuweka uzito wake ,pia tutapeana mlo wa siku .no cheating pls .kama unajijua wewwe ni muaminifu njoo nikuaadd tupeane maarifa
kupunguza uzito group
6 november 2016
members
1.miss natafuta 93kgs
2.Dimpo 96kgs
3.kedekede 90kgs
4.rebecca83 100kgs
6.incubu 51kgs

updates
tips za kupunguza uzito
no moja.
Epuka sukari,na vyakula vya wanga especially usiku.ni marufuku kula chips,wali ,ugali makande ,tambi ,chapati usiku

no mbili kutoka kwa mdau@Castr
Kuna mdau nimeona kasema mtu ujinyime kula (siyo upunguze kula) hili wazo wakati litakuhakikishia kupungua lakini hapo hapo litakua linakumalizia virutubisho mwilini (na kuna uwezekano mtu akapata bulimia).
Badala yake kula vyakula vyenye virutubisho tu kwa kiasi na epuka junk food, mfano Sammo Hung ili kupunguza mwili ili ashiriki filamu ya Eastern Condors kwa miezi mitatu alikua akila wali mkavu na kuku wa kukaanga tu.
Na pia usikimbilie kukata tumbo, anza na jogging/ trotting na mazoezi ya kustrecth kwanza. Baada ya muda ndiyo uanze kutrain kivingine.


tatu.kunywa kikombe cha green tea bila sukari
asubuhi
mchana na usiku
pia kunywa maji mengi at least lita mbili kwa siku

update!
kesho asubui
ukiamka kabla ya kuswaki maji nusu lita ya vuguvugu na vitunguu swaumu punje 11 tafuta
breakfast yetu itakuwa
mayai mawili
apple moja au nyaya moja
kikombe cha green tea kikubwa
 
Wengine wanatafuta unene hadi wanakula sawa za kuongeza makalio wengine wanataka kupungua! dunia haieleweki
 


Wanawake wanene ni shida sana kusex nao, mimi sitaki hata kuwasikia!
 
mabonge hawaolewi?


Ubonge unategemea, kama ni ubonge kwenye maka.lio na sio mwili mzima kama kiboko au nguruwe utaolewa..

Ukiwa kibonge na ma.tako yamekaa vizuri hapo utaolewa haraka.. i mean chura kasimama..ila sio ukae kama kifuto..au gunia la viazi..
 
Ubonge unategemea, kama ni ubonge kwenye maka.lio na sio mwili mzima kama kiboko au nguruwe utaolewa..

Ukiwa kibonge na ma.tako yamekaa vizuri hapo utaolewa haraka.. i mean chura kasimama..ila sio ukae kama kifuto..au gunia la viazi..
mbona wanawake wengi wanene wapo kwenye ndoa?
 
mbona wanawake wengi wanene wapo kwenye ndoa?


Unene unatofautiana... kuna unene unavutia sana chura anaitaaaa na unajua sisi wanaume wagonjwa wa chura aliekaa mkao wa kuruka ruka.. ila ukiwa mneneee kama kifuto au sanamu la michelin, sitaki hata kukuona, nakukwepa tu, ndio ukweli huo
 
Unene unatofautiana... kuna unene unavutia sana chura anaitaaaa na unajua sisi wanaume wagonjwa wa chura aliekaa mkao wa kuruka ruka.. ila ukiwa mneneee kama kifuto au sanamu la michelin, sitaki hata kukuona, nakukwepa tu, ndio ukweli huo
aya wamekusikia
 
Interested story. Kuna jamaa kila nikikutana nae namwonea huruma. Ana tumbo kubwa limeshuka karibu na magoti. Napenda nimwambie nimshauri namna ya kupunguza mwili. Lkn hatufahamiani. Naamini naweza kumpa counselling na akifata naamini atapungua kama nilivyoweza kupungua kwa njia ya kuacha kula baadhi ya vyakula na kupunguza idadi ya milo.

Kwa sasa nina kilo 77 toka kilo 83. Ndani ya miezi mi3 iliyopita.

Na siri kubwa moja wapo kwanza ni
1.kutambua njaa haitokani na kukosa kula na hasa kwa wanene. Bali unapohisi njaa huwa ni sehemu ya ubongo ndiyo inayosema hivyo. Hivyo ukiweza kuikintrol utapungua.
2. Tukile tusile kujali ladha bali kuangalie u bora wa unachokula na sio test ya unachokula. Hivyo kwa hili tunapaswa kuacha kula vyakula vyenye sukari. Bali tunaruhisiwa kula kwa u chache matunda na hasa yale matunda baridi (Alkaline) . Hivyo chai ya sukari, aina zote za vyakula vya ngano, Mchele na mahindi achana nayo. Kwa hiyo vyakula jamii ya kunde, mboga mboga ziliwe kama mlo kamili na ikiwezekana mboga mbichi au zile zilizochemshwa kidogo. Lkn jingine muhimu unywe maji yenye mchanganyiko wa siki au magadi ili isaidie kuondoa asidi mwilini. Tukumbuke mwili wenye asidi nyingine ndio mwili wenye mgonjwa mengi. Na mwili wenye afya ni ule wenye alkali nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…