Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Harufu ya gas yaweza kukutahadharisha na ukaserve vile vile.
Yeah..Harufu ya gas yaweza kukutahadharisha na ukaserve vile vile.
Mkuu haujasikia vilio vinavyosababishwa na H/Gs kwa waajiri wao?How you treat her is what she'll pay you back
Sijawahi kuwa na housegirl mwenye matatizo alafu ni WATAMU
NB;SIJAOA
Nadhani ni kutokana na experiance pamoja na uchunguzi wa kesi nilizowahi kuchunguza binafsi.Mkuu haujasikia vilio vinavyosababishwa na H/Gs kwa waajiri wao?
Inamaana watu wote hao treatments zao kwa wafanyakazi wao ni mbovu?
Sema nini, Mungu anakuepusha tu, kwanza kubali hili ili tuendelee na mjadala..
1. Hizi Gas pipe zina muda wa kuzitumia- kisha unatakiwa zibadilisha. Uenda ilikuwa imefika mwisho wake so inatengeneza mipasuko na Dada alijaribu kuziba ili pipe iendelee tumika.. ni wazo tu
Akili kubwa mkuu1. Hizi Gas pipe zina muda wa kuzitumia- kisha unatakiwa zibadilisha. Uenda ilikuwa imefika mwisho wake so inatengeneza mipasuko na Dada alijaribu kuziba ili pipe iendelee tumika.. ni wazo tu
2. Leakage yake na kiasi cha ges- aiwezi chukuwa round kabla harufu yake amjaisikia na pia ingeisha tu mapema....
Mt 7:1-14
Hujaoa au Hujaolewa?How you treat her is what she'll pay you back
Sijawahi kuwa na housegirl mwenye matatizo alafu ni WATAMU
NB;SIJAOA
House girl watamu ila mostly vvu victim ndio maana usimuache kijana wako w kiume Akawa na mazoea na house girl ,wote washaAmbiagwa inama,kaa kule ,nenda kule nikugonge
Kumbuka kila mtu ana uhuru wakucheki afya yake na hana haki ya vitu vyake vya kiafya unless otherwise uwe unampa mshabara mkubwa ila 70000,50000,wengine wana beki tatu wa darasa la saba 14-16 exposed to UKIMWI NJE NJE NA UKIUKWAJI WA HAKI UNA KUTA VITOTO VISHAZOEWA KUPELEKEWA MOTOJenga mazoea ya kumfanyia Check up kila mara
Tuwapende na tuwaelewe kuwa nao ni Watu na wanategemewa na watoto, Wazazi na Ndugu zao- tuna waachia WATOTO WAZAZI WETU NA NYUMBA ZETU NA PENGINE NA MAHELA TENA MENGI TU NA OUR NEW CARS NA FUNGUWO ZAKE- wapo na tunawakuta😭! Na pengine tunawapa majukumu ya maza House! Na tunakuwa wakali kwao🇨🇺God bless Our House Girls ! Mbinguni waingie bila kuojiawa wala kuwa scanned kama pale Serena HotelAkili kubwa mkuu
sio kila anachofanya house girl ni kwa lengo baya shida ni mapokeo tuu
Mara nyingi ukiishi nao vizuri hawanaga tabu kabisa.