Kwa Wale Wenye Wafanyakazi wa ndani aka House Girl

Kwa Wale Wenye Wafanyakazi wa ndani aka House Girl

Ishi na housegirl kama boss na mfanyakazi wake kama sisi tunavyoishi na maboss zetu kazini.
 
Tatizo litakuwa mwenye nyumba Ndiyo hamna kitu kichwani lazima utoe elimu kuhusu usalama ndani ya nyumba na namna ya kukabiliana na majanga hasa gesi
Siku hizi wadada ni wachawi, washenzi, wauaji sio namna boss anavyoishi na mdada. Yaani wadada wanataka maboss wawanyenyekee kama miungu watu. Huyo mdada ni konki yaani kashamaliza nyumba zote huyo
 
Siku hizi wadada ni wachawi, washenzi, wauaji sio namna boss anavyoishi na mdada. Yaani wadada wanataka maboss wawanyenyekee kama miungu watu. Huyo mdada ni konki yaani kashamaliza nyumba zote huyo
Kama anajulikana hivyo kwanini munakaa naye Ina maana tatizo ni nyinyi wenyewe, (something wrong upstairs), mnatatizo vichwani kwenu
 
Kwa kiwango kikubwa, wanaosababisha house girls kuwa changamoto ni wanawake au mother house.

Hawa viumbe sijui ni kwann huwa hawajui au hawawezi kaa nyumba moja na wadada wa kazi kwa amani muda mrefu bila kumtibua.

Na ukichunguza ni utafugundua kuna visa vidogo vidogo huwa wanafanya kwa kumlenga house girl kwa makusudi kabisa bila kuzingatia kuwa huyu ni msaidizi wa kazi ila yeye atamchukulia kama mwenzake anaanza mletea ligi za kitoto kabisa.

Unakuta anaweza akawa anamtuma tuma hovyo kama roboti anamwambia alete kitu jikoni then akija anamrudisha tena huko huko jikoni zaidi ya mara tatu akamletee kitu kingine ambapo angeweza mwambia naomba uniletee kitu fulani na fulani na fulani kwa mkupuo ili dada amletee na kutulia zake aendelee kutazama tamthiria zake.

Atamtuma makusudi huku akimtazama usoni namna anakasirika ili apate cha kumjibu, utasikia "halafu wewe unakiburi sana ujue, me nakutuma unaninunia unataka nimtume nani sasa,hayo matathiria ndicho kilichokuleta hapa?" Kwann house girl asiwe mkorofi hapa.

Jiulize ni why ma'house girl huwa nadra sana kupishana na baba na atatii kila anachoambiwa na baba ila mama wataanza kubinuliana midomo baada ya siku kadhaa tu?

Chunguza sana. House girls wengi ukikaa nae chini kuongea nae utasikia sababu anazokupa huwezi sikia anasema baba ndio chanzo, atataja mama ndie tatizo why?

Atampa kauli za dharau, matambo, mikwara, fedheha kisha anamuachia mtoto wake au watoto wake wadogo adeal nao, wategemea nini hapo?

Haya bado huyu binti unakuta yupo kwenye ule umri wa balehe so anakuwa na hamu ya kufanya mapenzi na kuwa na mahusiano. Sasa mke anakuwa anamkalia kooni kumzuia asifanye hata game na balaa zaidi ni atakuwa busy kumharibia timing hata baba mwenye nyumba asimle ili kumtuliza kihisia.

Wanawake ni changamoto sana hili eneo aiseee.
 
Back
Top Bottom