Kwa wale wenyeji wa SHINYANGA nisaidieni

Kwa wale wenyeji wa SHINYANGA nisaidieni

mkuu jana nilikuwa shy vijijini nilienda kucheki mazingira kwanza kabla ha2ja pangwa asikwambie mtu kule ni pabaya ile mbaya hakuna maji wala umeme afu shule zipo ndani sana hakuna nyumba za waalimu ni kupanga tu na nyumba zilizopo ni za tembe.mkubwa mimwenye nimepangwa uko ila niliyojionea jana hadi raha ya kupata kazi imeniisha.ni pm kwa maelezo zaidi.



Mi nipo AR kwa sasa.naomba contact zako mkubwa oldonyo.thanks for prior information
 
kwanza nakupa hongera kwa kupangiwa shinyanga kwani kama uko serious na maisha basi mambo yako yatakuwa mazuri sana. Shinyanga kuna opportunity nyingi tu ni juu yako kuangalia na kuchagua ipi ufanye kwa muda wako wa ziada.hali ya hewa shy ni jua kali linaloambatana na upepo mkavu.hapa ina maana no way ukaoga maji usipake mafuta, utapauka kupita kenge. Hata hivyo hii hali ni ya muda tu wakati wa kiangazi.kipindi cha mvua hali ya hewa ni tulivu sana yaani baridi kiasi.
Huduma za kijamii zipo sana kwani kuna kila kitu unachotaka pale. maisha kwa ujumla si ghali kama mikoa mingine kwani vyakula vinapatikana kwa bei nzuri tu, na siku hizi baada ya shy kuletewa maji toka ziwa victoria ile shida ya maji haipo tena kama enzi zile za utegemezi wa maji toka ning'wa derm.

thanx twiza.kama vp nieleze shule zilizopo center na za A level
 
SORRY kuingilia maada.........VIPI KUHUSU BUKOMBE ... NAENDA KUFANYA KAZI HOSPITALI YA WILAYA YA BUKOMBE....... NIMEJULISHWA HAMNA UMEME,,,, ILA KUNA MTU ANAEFAHAMU Kuhusu , upatikanaji wa maji,, ,,,KILIMO,,,na mazingira KUPOJE huko?
 
Back
Top Bottom