Kwa wale WordPress site developers: Plugin inayoweza kutoa na kupokea pesa Mpesa/AirtelMoney Imekamilika

Mkuu kazi safi lakini kikawaida unapotoa bidhaa inatakiwa ufocus zaidi kwenye bidhaa kwanza na kuisifia bidhaa kwa tips na hints ndogo ndogo kwa kiasi za kumuachia mteja maswali ili awe more interested na ukizidisha Clients wataanza kutilia mashaka.
Kuhusu wewe hiyo itakuja baadae baada ya bidhaa kufanikiwa kwenye industry.

Zaidi ya hapo hii promo imetisha na kazi imetulia bila shaka.
 

OFA MSIMU HUU WA SIKUKUU
NI ZAWADI GANI UNGEIPENDA ZAIDI MSIMU HUU WA SIKUKUU?



TUMEAMUA KUTOA PUNGUZO LA BEI KWA WATU WOTE WANAOTAKA KUANZA KUFANYA BIASHARA MTANDAONI 2023.

NI MFUMO WA MALIPO WA KWENYE TOVUTI YAKO UNAOFANYA KAZI NA MPESA , AIRTEL MONEY.

KUTOKA 400K MPAKA 100K .

WAHI OFFER HII KABLA HAIJAISHA.

KWA MASWALI NA MAJIBU. 0756431032

UTAUKUTA MFUMO HUU www.iziraa.com (jaribu kununua notes kwenye tovuti)
 

What about legal and tax aspects?
 
Mkuu unauliza maswali magumu....wewe fungiwa tu plugin upokee hela...mambo ya reconciliation na transaction flow ni beyond the scope🤣

Is it a legal thing?
 
Is it a legal thing?
YESS it's legal. And about tax aspects it's simple. When you complete your documentation to Vodacom and Airtel money they will handle all legal issues for you. We just provide code for you to integrate with your website.
 
YESS it's legal. And about tax aspects it's simple. When you complete your documentation to Vodacom and Airtel money they will handle all legal issues for you. We just provide code for you to integrate with your website.

You need to explain more, unajali sana kuuza mpaka unasahau kutoa maelezo kwa wateja makini ya kutosha.

Hii software may be ni nzuri, ila improve na jipande kuielezea, unaielezea kirahisi sana. Ngumu sana kupata watu serious.
 
You need to explain more, unajali sana kuuza mpaka unasahau kutoa maelezo kwa wateja makini ya kutosha.

Hii software may be ni nzuri, ila improve na jipande kuielezea, unaielezea kirahisi sana. Ngumu sana kupata watu serious.
Ndio, Cha kwanza kumekuwa na uhitaji mkubwa wa mfumo wa malipo wa tovuti za wafanya biashara mtandaoni. Wafanyabishara na watu wanaotoa services mbalimbali kupitia tovuti zao. Kuna wale wanaotaka kulipisha watu kabla hawajafikia taarifa fulani kwenye tovuti zao, na kuna wale wanaotaka kulipisha watu kwa ajili ya kununua bidhaa fulani mtandaoni.
Sisi tumeliona hili. Na tulichofanya tumetengeneza mfumo unaoweza kufanya hivo. Na tumezingatia mfumo huu uwe mrahisi kuuweka kwenye tovuti yako.
Kuna wale wenye tours, hotels restaurants bar, or any direct or online service unayotaka kuuza ndani ya tovuti. na wangependa wateja wao wawe wanalipia huduma ndani ya tovuti. Kwa kupitia mpesa au airtel money. Na mfumo huu tulioutengeneza unaweza kabisa kufanya hivo.

kingine unafanya kazi na tovuti zote za wordpress. maana inaunganishwa na woocommerce kwaio kwa ufupi hii ni payment gateway plugin. Karibuni sana na asanteni. Ukiwa unataka bado maelezo kwa kina nipigie kwa namba hiyo ya ndani ya tangazo
To begin with, yes, there has been a great need for a method of online payment for e-commerce sites. Entrepreneurs and service providers who operate online. Some people would like to collect money from users in advance of their access to specific content on their websites, while others would like to implement similar fees for purchasing goods through the internet.
This is not new to us. We've built a system that's capable of doing just that. As an added bonus, we've made this system plug-and-play with your website.
Those who run tours, hotels, restaurants, bars, or any other direct or online service and want to charge their customers directly through the website are in this category. Through services like M-Pesa and Airtel Money. Our system is capable of doing exactly that.

Or else, you're able to work with any WordPress site. For the most part, this is a payment gateway plugin because it works with the WooCommerce shopping cart. Please accept my sincere appreciation and greetings. You can reach me at the number listed in the ad if you're still interested in more specifics.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…