Nmeviacha....sitak demu ..hahaha[emoji1] [emoji1] kwel mzee hilo ni gundu
Hpn mkuu....nishajiapia sitakula kahaba wala mke wa MTU wala secondary student... Ntajikaza tuKimboka pana tuhusu mkuu
Hahaha....haya mkuuUkifanikiwa kutimiza hiko basi utakua na bahati
Nasema hivi, tengeneza mazingira rafiki ya kupata bahati.Unajisomea kuanzia mwezi wa kwanza ili kuja kuukabili mtihani wa mwezi wa tisa.
Kisha unafaulu.
Huku kufaulu kulikotokana na maandalizi ndiyo bahati yenyewe?
Nashindwa kuunganisha kati ya maandalizi na bahati. Kwa watu wengi bahati hua siyo chaguo hauwezi kuchagua ni inatokea tu ghafla.
Wanaosema "Wish me luck" wanamaanisha "Wish me I get to prepare for this and wait for the right opportunity"?
Umeanza mambo ya wanaume?Mm kila demu nayetongoza ananiambia ana MTU tyr tena wa malengo kabisa....gundu hili...nmeamua niachane kwanza na mambo ya wanawake
Tafuta kwanza maisha. Ukiwa vizuri milango itafunguka yenyewe. Utaona wanavyo jigongesha kwakoMm kila demu nayetongoza ananiambia ana MTU tyr tena wa malengo kabisa....gundu hili...nmeamua niachane kwanza na mambo ya wanawake