Kwa wale wote wanaojuta baada ya kupiga peku

Kwa wale wote wanaojuta baada ya kupiga peku

Mwaihojo Mwaseba

New Member
Joined
Jul 10, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Habari wakuu,

Kuna watu wanamtindo wa kujaamiana na watu wasiowaamini kwa Mara ya kwanza au pili bila kondom halafu anaenda mbele kujilaumu au anajialaumu kesho yake, baada ya siku kadhaa anajipa moyo yule alikuwa fresh tu, mara anakutana na mwingine anarudia tena halafu anajilaumu anakuhangaika sana baada ya stori anazokuja kusikia kuhusu yule mtu.

Sasa tumechoka kushauri kila siku, tambua una thamani sana.
 
Mchakato wa kupima ni mrefu ukichukulia demu uliyempata ni wa kupiga deiwaka tu. Ila matumizi ya kondom ni bora
 
Back
Top Bottom