Kwa WALIMU hili wazo mnalionaje wakuu

Nafikiri wewe ndio haupo sahihi maana hili ni jukwaa la utani

Mara nyingi fanya tasmini kabla uja comment ,utaonekana una busara sana

Labda kama na wewe umeamua kutania
Wanasahau kuwa hapa wapo katika jukwaa lenyewe la mautani..
 
Humu kuna vitoto vingi kweli.
 
Kwani kuna uhusiano gani na viboko na Mwalimu?
Chuoni unafundishwa njisi ya kupiga wanafunzi? Unafahamu kuna walimu wanaanza kazi na kustaafu hawajawahi kumchapa mwanafunzi? Hivi umefikiria nn asee?
Mwalimu kiboko cyo lazima.Huwa tunachapa inapobidi. Kwa askari hawezi Linda siraha. Shehe au Padr hawezi hubiri bila Bible. Kuna direct relationship ya hivyo vitu c kwa Mwalimu na kiboko.
 
Vipo vingi vya maana vya kufanya ukajiingizia kipato.
Haya mawazo ni vyema yangeenda fesibuku
Mkuu wewe kama una ya maana ya kufanya ya kujiingizia kipato, ktk hili jukwaa la utani umefwata nini!?? Huoni huo muda ungekua unafanya hayo ya maana!! Ukiingia humu kua mpole expect chochote.
Acha mambo yako bana!
Rubish kabisa ...
 
Mkuu nilichofikiria ni kuwatania ndg zangu walimu, jua fika humo ktk jukwaa la utani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…