Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,226
- 1,757
Me
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha, umetisha sana mkuuMwalimu nini maana ya jukwaa la utani na jokes?
El cabronI don’t need to!
Vipo vingi vya maana vya kufanya ukajiingizia kipato.Unawashwa washwa ee
Mkuu wewe kama una ya maana ya kufanya ya kujiingizia kipato, ktk hili jukwaa la utani umefwata nini!?? Huoni huo muda ungekua unafanya hayo ya maana!! Ukiingia humu kua mpole expect chochote.Vipo vingi vya maana vya kufanya ukajiingizia kipato.
Haya mawazo ni vyema yangeenda fesibuku
Mkuu nilichofikiria ni kuwatania ndg zangu walimu, jua fika humo ktk jukwaa la utaniKwani kuna uhusiano gani na viboko na Mwalimu?
Chuoni unafundishwa njisi ya kupiga wanafunzi? Unafahamu kuna walimu wanaanza kazi na kustaafu hawajawahi kumchapa mwanafunzi? Hivi umefikiria nn asee?
Mwalimu kiboko cyo lazima.Huwa tunachapa inapobidi. Kwa askari hawezi Linda siraha. Shehe au Padr hawezi hubiri bila Bible. Kuna direct relationship ya hivyo vitu c kwa Mwalimu na kiboko.
hahahaa....mara papu nimekusoma MkuuMkuu nilichofikiria ni kuwatania ndg zangu walimu, jua fika humo ktk jukwaa la utani