Kwa WALIMU hili wazo mnalionaje wakuu

Utani huo wa kipuuzi sio mahala pake hapa bila shaka umekosea majukwaa jamiiforums is the home of great thinkers and not a crew of fools
 
hahahaa....mara papu nimekusoma Mkuu
Ila wasilete utani kwa walimu kwani ndo chanzo cha taaluma zooooote hapa duniani
Haha na waheshimu sana mkuu, usijali
 
Hivi kazi ya mwalimu ni kupiga wanafunzi? Ningekuelewa ungesema walau tumzike na chaki Hata mbili tatu mkuu
 
Utani huo wa kipuuzi sio mahala pake hapa bila shaka umekosea majukwaa jamiiforums is the home of great thinkers and not a crew of fools
Mwalimu acha kupanick, hii haitobadilisha uhalisia ulio kuepo.

Critical thinking is fair thinking

JF board sio wajinga kuweka majukwaa tofauti tofauti, wewe ni nani?
 
Hivi kazi ya mwalimu ni kupiga wanafunzi? Ningekuelewa ungesema walau tumzike na chaki Hata mbili tatu mkuu
Au na vitabu viwili vitatu
 
We huna akili kwa hiyo kitendea kazi cha mwalimu ni fimbo?
Bsdala useme asindikizwe na speech nzito we unasema viboko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…