instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Mtaàla mpya wa elimu unataka shule za msingi zifundishwe na mwalimu mwenye stashahada ya ualimu, lakini sifa za Mwl kujiunga na stashahada au degree zipo sawa. Hii itakosesha walimu wa kufundisha Shule za msingi
Kwahyo TCU tunaomba sifa za kujiunga na stashahada iwe kwa mwanafunzi ALIYEPATA daraja la 3 kwenye mitihani wa kidato cha sita, ili kuweza kuwapata walimu wa kufundisha shule za msingi.
Kwahyo TCU tunaomba sifa za kujiunga na stashahada iwe kwa mwanafunzi ALIYEPATA daraja la 3 kwenye mitihani wa kidato cha sita, ili kuweza kuwapata walimu wa kufundisha shule za msingi.