Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
I salute you kinsmen.
Mdogo wangu kutoka kijijini alichaguliwa chuo huku mjini na ndio vile alipata ualimu kama mnavyojua maskini yeye ni ualimu ndiyo unamfaa ameona.
Alichaguliwa hiyo Bachelor of education in policy planning and management lakini aliomba Bachelor of education in special needs.
Sasa anataka ku postpone masomo ili mwaka aombe tena hiyo BED SPEN je atakuwa amekosea? Ipo ina uafadhali kidogo kwake japokuwa zote ni ualimu?
Nauliza haya sababu mimi nimelipa ada mkopo alikosa nisije nikaingia chaka .