Kwa walimu tu; Bachelor of education in special needs vs Bachelor of education in policy planning and management ipi inamfaa mdogo wangu?

Kwa walimu tu; Bachelor of education in special needs vs Bachelor of education in policy planning and management ipi inamfaa mdogo wangu?

Bachelor of edication kwa sasa ni wastage tu of time and money! Unless otherwise una shule ya kumuajiri pale tu atakapo maliza masomo yake! Au uwe na connection.

Kinyume na hapo, akimaliza atarudi mtaani kuongeza ile idadi ya wahitimu laki mbili kasoro wanaosubiria ajira elfu 10+ za serikali kila mwaka.

I wish angesomea kozi ya kumjengea uwezo wa kuweza kujiajiri mara baada tu ya kuhitimu masomo yake.
Kwa kweli upo sahihi. Hali ya sasa ni bora uwe na cheti cha VETA angalau (electricity, mechanics, electronics, cookery etc.) unaweza kujiajiri / kuajiriwa. Ila Degree's utasubiri sana. Ni kiu tu ya kusoma degree vyuo vikuu lkn kiuhalisia mtaani pagumu.
 
Back
Top Bottom