Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Sasa mkuu wanasema dirisha la kubaddilisha kozi limeshafungwa hakuna uwezekano wa kubadili?Duh mpe pole Kwa changamoto anayopitia nduguyo,but sishauri kusitisha masomo yake ,ila Kwa kozi ya education policy planning and management sio nzuri for flesh graduates kulingana na Hali ya Ajira Kwa Sasa,kozi hiyo inapaswa kusomwa na in-service,Kwa mdogo wako nashauri asome kozi ya education in special needs anaweza toboa
Aonane na HOD wake ataruhusiwa tu,sema labda umungu mtu wa viongozi wetuSasa mkuu wanasema dirisha la kubaddilisha kozi limeshafungwa hakuna uwezekano wa kubadili?
Mfano labda akienda kwa head of department? Kitu kama hicho?
Hapo kweli nitaenda kumpeleka mimi mwenyewe anipeleke kwa huyo HOD lakini vipi dirisha hilo si linasimamiwa na tCU?Aonane na HOD wake ataruhusiwa tu,sema labda umungu mtu wa viongozi wetu
Bachelor of edication kwa sasa ni wastage tu of time and money! Unless otherwise una shule ya kumuajiri pale tu atakapo maliza masomo yake! Au uwe na connection.
Hapana,kubadili kozi Kwa Sasa ni jukumu lililo chini ya chuo husikaHapo kweli nitaenda kumpeleka mimi mwenyewe anipeleke kwa huyo HOD lakini vipi dirisha hilo si linasimamiwa na tCU?
MkuuBachelor of edication kwa sasa ni wastage tu of time and money! Unless otherwise una shule ya kumuajiri pale tu atakapo maliza masomo yake! Au uwe na connection.
Kinyume na hapo, akimaliza atarudi mtaani kuongeza ile idadi ya wahitimu laki mbili kasoro wanaosubiria ajira elfu 10+ za serikali kila mwaka.
I wish angesomea kozi ya kumjengea uwezo wa kuweza kujiajiri mara baada tu ya kuhitimu masomo yake.
Mkuu umenifungua machoKama amechaguliwa Bed ppm ya udom akaisome.
Kuna mpango mkubwa sana waja kwenye hizo coz
Yaani
-bed ppm
-bed adec
-bed adman
Wataruhusiwa kuomba kazi za maendeleo ya jamii pia na si ualimu TU. Atakuwa na uwanda mpana wa kujitetea.
Hila hiyo Bed sped/spen atakuwa mwalimu TU Tena na hata asije pewa kipaombele cha kupangiwa shule zenye uitaji maalum yani atawekwa kapu Moja na walimu wengine tu kwa Sasa aina maajabu
Ushauri mzuriMara zote usikubali watoto wanachotaka, wewe pia angalia soko la ajira.
Wakati binti yangu analilia sheria, nikamkatalia, nikamshauri aende NIT, kweli na mkono wa Mungu umekuwa naye .
Mfano ni ipi mkuuEducation miaka hii sishauri kwanini asisome course ansyoweza kujiajiri au ambazo ajira sio changamoto sana
Hapana ni coz kongwe kwa baadhi ya chuo ndio wamezileta asaivi hila udom braza wangu alihitimu 2011 huko hiyo BEd ppmMkuu umenifungua macho
Ila sasa niliskia kuwa BED sped hiyo huwa wanachukuliwa wakimaliza tu chap wanaingia kwenye system
Ila sasa wewe leo ndio umenipa code halafu mbona kama hizi bed adman,bed ppm ni kama programme mpya?
Kwahiyo kumbe sio ualimu tu hapo pia unapiga kozi ,a maendeleo ya jamii?
Safi sana ngoja jumatatu kesho dogo nikamfuate chuoni nikamwambie
Kwa sasa yuko wapiHapana ni coz kongwe kwa baadhi ya chuo ndio wamezileta asaivi hila udom braza wangu alihitimu 2011 huko hiyo BEd ppm
Kwa Sasa mzibiti ubora elimu Kanda ya masharikiKwa sasa yuko wapi