Bachelor of edication kwa sasa ni wastage tu of time and money! Unless otherwise una shule ya kumuajiri pale tu atakapo maliza masomo yake! Au uwe na connection.
Kinyume na hapo, akimaliza atarudi mtaani kuongeza ile idadi ya wahitimu laki mbili kasoro wanaosubiria ajira elfu 10+ za serikali kila mwaka.
I wish angesomea kozi ya kumjengea uwezo wa kuweza kujiajiri mara baada tu ya kuhitimu masomo yake.