Kwa walimu tu: namna ya kusimamia mtihani/test kwa matokeo makubwa sasa (BIG RESULTS NOW)

Kwa walimu tu: namna ya kusimamia mtihani/test kwa matokeo makubwa sasa (BIG RESULTS NOW)

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,781
Reaction score
6,139
ukishamaliza kugawa karatasi na kuhakikisha kila kitu kipo sawa waruhusu waanze kisha chukua kiti chako kakae nyuma kabisa ya darasa halafu toa tecno yako t605 anza kuchati au ingia jf usome thread..watafanya efectively coz kila mmoja atahis unamuona
 
mara nyingi invigilator's table wanaweka mbele na huruhusiwi kuingia na simu kwenye chumba cha mtihani hapo itakuaje?
 
mara nyingi invigilator's table wanaweka mbele na huruhusiwi kuingia na simu kwenye chumba cha mtihani hapo itakuaje?

ndio maana nikasema mtihan au test, sio ile ya Necta, ni mbinu nzuri ijaribu utaona urahisi wake
 
Ingawa sikatai kuwa wapo wanaofanya hivyo, ila nina kila sababu ya ku-classify bandiko hili kama DHARAU! Dharau kwa a) walimu wanaojali kazi zao, b) wanafunzi wanaosimamiwa na kuthamini mitihani/majaribio hayo na c) mfumo mzima wa elimu (pamoja na mapungufu yake lakini ndo uliotufikisha hapa).
 
walimu wa cku iz hawana wito haiwezekani shule ya private et anafauru m2 1 kwenda advance ubwege huu
 
Back
Top Bottom