Ingawa sikatai kuwa wapo wanaofanya hivyo, ila nina kila sababu ya ku-classify bandiko hili kama DHARAU! Dharau kwa a) walimu wanaojali kazi zao, b) wanafunzi wanaosimamiwa na kuthamini mitihani/majaribio hayo na c) mfumo mzima wa elimu (pamoja na mapungufu yake lakini ndo uliotufikisha hapa).