Kwa walimu wa business studies. Waliowahi kuhudhuria oral interview ya utumishi ni maswali gani mlikutana nayo?

Kwa walimu wa business studies. Waliowahi kuhudhuria oral interview ya utumishi ni maswali gani mlikutana nayo?

Mwangazza

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
34,153
Reaction score
51,777
Msaada tutani , ninajiandaa na usaili na ualimu very soon wakuu. Hivyo nauliza KWA WALIMU WA business studies. WALIOWAHI KUHUDHURIA ORAL INTERVIEW YA UTUMISHI NI MASWALI GANI MLIKUTANA NAYO? Niweze kupitia pitia na mimi nikalambe asali. Natanguliza shukrani za dhati kwa ushirikiano wenu.
 
Miongoni mwa maswali ni kuandaa kipindi. Lesson plan kisha unachagua mada yoyote unayoimudu inaanza kufundisha panel iliyokaa ambao ndo Wanafunzi wako. Zingatia teaching yako iwe student - centered instruction huku teaching documents zikiwa zimejazwa vizuri huku ukiwa na confidence. Nkirudi ntakupa full details
 
Hints za written mkuu
 
Hakuna written mkuu, ni oral. Orala maswali yake ndo kama hayi yaani ni mahojiano papo kwa papo ikiwemo problem solving at work place
BAsi inawezekana sikumulewa jamaa yangu, nikajua wana written kwanza kabla ya oral.
 
Miongoni mwa maswali ni kuandaa kipindi. Lesson plan kisha unachagua mada yoyote unayoimudu inaanza kufundisha panel iliyokaa ambao ndo Wanafunzi wako. Zingatia teaching yako iwe student - centered instruction huku teaching documents zikiwa zimejazwa vizuri huku ukiwa na confidence. Nkirudi ntakupa full details
Miongoni mwa maswali ni kuandaa kipindi. Lesson plan kisha unachagua mada yoyote unayoimudu inaanza kufundisha panel iliyokaa ambao ndo Wanafunzi wako. Zingatia teaching yako iwe student - centered instruction huku teaching documents zikiwa zimejazwa vizuri huku ukiwa na confidence. Nkirudi ntakupa full details
Duuh mbn ni noma sasa!! Na mimi pia nimeitwa ila sijasomea ualimu, nimesomea BBA
 
Sisi tangazo lilieleza wazi kuwa watatupa trainings kabla ya kupangiwa majukumu, je kwakulizingatia hilo kutakuwa na swali la kuandaa kipindi (kufundisha) kwenye usaili?
 
Sisi tangazo lilieleza wazi kuwa watatupa trainings kabla ya kupangiwa majukumu, je kwakulizingatia hilo kutakuwa na swali la kuandaa kipindi (kufundisha) kwenye usaili?
Ndio litakuwepo kwenu mkuu....jiandae....chagua topic nyepesi mfano entrepreneurship au marketing...Kuna sehemu nilijibu hivi vitu pitia

Naomba nikujibu naimani sijachelewa....ninamdogo wangu amepata hizi kazi .... Kwenye oral hamna kuingia na hizi aid lakini wao waliambiwa wafundushe swali la 2 baada ya tell us about your self .

Kabla hawajaingia kwenye hiyo oral walipewa makaratasi waandike topic yoyote watakayoiwasilisha kwenye ream paper...

Unafundisha kwa kuimagine upo darasani na wale panelist unawachukulia kama wanafunzi.

Jitahd kufanya hivo pia jtahidi body language, jtahidi luwainvolve wale panelist wawe kama wanafunzi wako ...mfano unaanza can you tell us what we learned last time? Enhe Asha oh nice Victor that's great so unaendelea...

Naimani nimefanya kitu...try to be funny, engaging and taja majina mengi tofauti kuonesha unawajua wanafunzi tofauti wengi usirudie majina hayohayo...
 
Kesho nitakuja na maswali waliyouliza kama anakumbuka mhusika pia nitawaandalia mfano wa kupresent topic moja na jinsi ya kumanage darasa (panelist)
 
hint nlizompa dogo na tulivyopractise

Good morning class how are you.. okay who can tell us what we learn last time (Enhe Juma, nice ..Amina good mwanaisha nice) so last lesson was well understood.. today we will be covering a topic called entrepreneurship (geuka nyuma Anza kujifanya unaandika)

Uliza who has ever heard the word entrepreneurship? Oscar, nice, halima nice good so entrepreneurship is unafafanua then unauliza who has ever done any business? au who dream to be an entrepreneur Enhe can you tell us which business do you dream to open in the future?

wakimaliza unasema okay so advantages of entrepreneurship (geuka tena jifanye unaandika) geuka anza kutaka moja alf unaexolain, baada ya nyingine...

taja watu wakubwa kwenye business ambazo walianza kama wafanyabiashara wadogo modewji,gsm, bakhresa etc

Hiyo unataja pale juu au ndani ya benefits za entrepreneurship. Be brief pia tabasam taja majina, igiza kuandika ubaoni japo ubao haupo.

Tumia body language mfano mikono icheze tembea japo kusizidi unaposema point simama sehem moja ukimalza ndo umove.
 
Dah nimekuelewa sana nadhani umetufungua sana mkuu. Ntalianyia kazi sana hili kiongozi, ubarikiwe sana
 
Back
Top Bottom