Kwa taarifa amabazo nimezipata kutoka chanzo cha uhakika ni kwamba walimu walio kuwa wanasubiri ajira ya serikali wanaweza wasiajiliwe kwa sasa kutokana na ufinyu wa bajeti ya wizara hali hii pia imechangia pia hata ucheleweshwaji wa moshahara kwa baathi ya secta hususan elimu hivyo .kwa taarifa iliyopo ni kwamba ajira zaweza kutoka kwa kuchelewa sana kuanzia mwezi wa nne mwishon hadi wa tano mwanzoni.
Nb. Walimu msikate tamaa hii ndio serikali ya jk isiyo kuwa na mipango thabiti.
Si wafanye na kaz nyingine watakaa kusubiria ajira za serikal yetu hii ambayo haieleweki itatoa lin. Kama vipi mjiajiri tu kama mim kuajiriwa hakuna dili cku hizi
Mbona mnatoa mada wenyewe na mnabishana wenyewe pasi na mwalimu hata mmja kutoa hoja yake, ni nani hasa kakwambia walimu wasubr ajira za serikali, waTZ mna majungu Roho zawauma sana mwonapo wenzenu wanapata, ama mnataka wawe vibaka ndo mridhike na muache kuimba hizo taarabu, ok ushauri. Mwambie huyo dadako anayesubr ajira za serikali aje nimwajiri kama vipi ili ukoo wenu uridhike. Mwanaume acha majungu kama Hadija Kopa.
mkuu kama utakumbuka mh.rais alisema ajira zingetoka mwezi october zilitokaa?asiye amin aendelee tu kusubiri huku akiachia fursa zingine zikimpita kw kusubiria hiyo ajira asiyo eleweka.
ajira zenu soon zitatoka, tumezingatia mahtaji maalumu, asilimia 90 tumewapeka wilaya za pembezon! Wenye somo moja la kufundisha (BED) hali yenu si nzuri.