LOOOK
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,389
- 674
Kwa taarifa amabazo nimezipata kutoka chanzo cha uhakika ni kwamba walimu walio kuwa wanasubiri ajira ya serikali wanaweza wasiajiliwe kwa sasa kutokana na ufinyu wa bajeti ya wizara hali hii pia imechangia pia hata ucheleweshwaji wa moshahara kwa baathi ya secta hususan elimu hivyo .kwa taarifa iliyopo ni kwamba ajira zaweza kutoka kwa kuchelewa sana kuanzia mwezi wa nne mwishon hadi wa tano mwanzoni.
Nb. Walimu msikate tamaa hii ndio serikali ya jk isiyo kuwa na mipango thabiti.
Nb. Walimu msikate tamaa hii ndio serikali ya jk isiyo kuwa na mipango thabiti.