Kwa walimu wapya: Natafuta mtu kubadilishan kituo cha kazi

Kwa walimu wapya: Natafuta mtu kubadilishan kituo cha kazi

SANING'O LOSHILU

Senior Member
Joined
May 19, 2012
Posts
144
Reaction score
11
Wadau mi nimepangiwa iringa natafuta mtu aliyepangwa mwanza au karibu na mwanza tubadilishane get me via 0753985758 au 0717846314
 
Mi nimepangiwa bukoba vijijini upo tayari?. Tuwasiliane 0766216814
 
Wadau mi
nimepangiwa iringa natafuta mtu aliyepangwa mwanza au karibu na mwanza
tubadilishane get me via 0753985758 au 0717846314

Si tumewatangazia hamna kubadilisha kituo cha kazi ulichopangiwa?wanafunzi wa Iringa ni sawa na hao wa Mwanza,wote n Watanzania,nenda kajenge Taifa Mwalimu.
 
Hawa jamaa wanapangapanga 2 bila kuulza wa2
 
Hzi kazi za promotion huwa zina matatzo sana.
 
Back
Top Bottom