Kwa walio Dar es Salaam tu: Hili ndilo suluhisho la uhakika kukabiliana na gharama zilizopanda za internet

Utatumia hata gb 10 kwa siku ni wewe tu, nenda voda ulizia hizo gb 10 ni sh ngap.

Pia hapo hapo unapata channels za kingamuzi cha zuku

The end results of this itakuwa a very slow internet; na mtarudi kwenye simu” Hakuna suluhisho hapo!

Mimi Nina ttcl kariakoo oficin; huwezi fanya kitu hata kimoja, very slow! Unlimited internet ya bei ya chini ni changamoto sana
 
SHE IS BLIND (1).png

MCHAWI LOCATION......AU KAMA NI OFISI BASI UIFATE WEWE
 
Dunia inaondoka kwenye mifumo ya analog kwenda wireless! Wewe unakuja na idea ya kuunganisha miwaya kama TTCL!
NDUGU INTERNET UNAYOIONA IMEANZIA KWENYE FIBER......MKONGA WA SERIKALI NI FIBER ZILIZOPITISHWA BAHARINI.TEKNOLOJIA UNAZOZISIKIA NI NAMNA WANAFANYA KUISAMBAZA INTERNET TOKA KWENYE FIBER KWENDA WIRELESS ILI KUWAFIKIA WENGI ILA FIBER ATABAKI KUWA MAMA LAO.SPEED YA FIBER HUFIKA HADI 100GB PER SECOND SASA WEWE NDIO UUMIZE KICHWA UTAWEZAJE KUSAFIRISHA DATA KWA WIRELESS KUIFIKIA SPEED YA FIBER..KWA SASA 5G NDIO ANAWEZA KUFIKA 20GB PER SECOND.5G can have downlink speed up to the scale of 20 Gbps and 10 Gbps uplink, practical speed measured on Fiber cables is 100 Gbps......ZAIDI FIBER HAINACHANGAMOTO ZAKIMTANDAO (NETWORK) HASA MABO YA HALI YA HEWA KAMA ILIVYO KUSAFIRISHA KWA MAWIMBI YA REDIO (WIRELESS).WIRELESS UBORA WAKE NI UFIKIAJI WA WATU WENGI HASA SIMU ZA MKONONI NA TOFAUTI NA FIBER YENYEWE IKO FIXED ENEO FULANI IKIZIDI SANA NDIO UTUMIE IYO WIFI TOKA KWENYE ROOTER HIVYO UNAWEZA KUSOGEA SAWA NA RANGE YA DEVICE YAKO KUTUMA MAWIMBI YA WIFI.
 
Leo mwezi wa pili sasa tangia nimejiunga na Fiber wireless Internet..
Nazidi kujilaumu nlikuwa wapi siku zote hizi,nikifkiria jinsi nlivokuwa nikilambwa Mb zangu na voda pamoja na tigo kwa siku wananitafuna hadi elf6..
Kwasasa natumia elf70 tu kwa mwezi lkn tunainjoy familia nzima kwa kupata unlimited bundles..
Nakushkuru saana mleta mada kwa kunipunguzia mzigo wa maisha[emoji2211]
 
NDUGU INTERNET UNAYOIONA IMEANZIA KWENYE FIBER......MKONGA WA SERIKALI NI FIBER ZILIZOPITISHWA BAHARINI.TEKNOLOJIA UNAZOZISIKIA NI NAMNA WANAFANYA KUISAMBAZA INTERNET TOKA KWENYE FIBER KWENDA WIRELESS ILI KUWAFIKIA WENGI ILA FIBER ATABAKI KUWA MAMA LAO.SPEED YA FIBER HUFIKA HADI 100GB PER SECOND SASA WEWE NDIO UUMIZE KICHWA UTAWEZAJE KUSAFIRISHA DATA KWA WIRELESS KUIFIKIA SPEED YA FIBER..KWA SASA 5G NDIO ANAWEZA KUFIKA 20GB PER SECOND.5G can have downlink speed up to the scale of 20 Gbps and 10 Gbps uplink, practical speed measured on Fiber cables is 100 Gbps......ZAIDI FIBER HAINACHANGAMOTO ZAKIMTANDAO (NETWORK) HASA MABO YA HALI YA HEWA KAMA ILIVYO KUSAFIRISHA KWA MAWIMBI YA REDIO (WIRELESS).WIRELESS UBORA WAKE NI UFIKIAJI WA WATU WENGI HASA SIMU ZA MKONONI NA TOFAUTI NA FIBER YENYEWE IKO FIXED ENEO FULANI IKIZIDI SANA NDIO UTUMIE IYO WIFI TOKA KWENYE ROOTER HIVYO UNAWEZA KUSOGEA SAWA NA RANGE YA DEVICE YAKO KUTUMA MAWIMBI YA WIFI.
Umemjibu vizur sana nazan utapunguza washamba wengi wenye ugonjwa unaotibika kama wake
 
Yaan fiber ndo habar ya mjini maana Kwanza kama Una smart TV huwezi tena kulipia mavifushi ya tv ili upate chanell flan maana mambo yote yataishi kwenye internet bado smartphone na laptop zilizopo nyumban zinakula maisha
 
Back
Top Bottom