Kwa walio oa tu!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
*Ukiona kila siku kuna pesa inapotea ktk wallet yako wakati unapo ondoka home asubh. Nunua Pc 1 ya Dume au salama, katafute na PREGNANT TEST inayo soma Positive weka kwenye wallet yako then relax . Mwizi atajitokeza mweenyewe.*
 
[emoji23] [emoji23] ushauri wako sio mzuri
 
Ayaaaa umeharibu halafu yumo humu humu
Subiri atakae cheka sana
 
Ayaaaa umeharibu halafu yumo humu humu
Subiri atakae cheka sana
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Is that you hahaha
No I don't think so
 
Mkuu sumu haijaribiwi kwa kuionja, d'Allah utavunja ndoa siku hiyo hiyo.
 
hahaaaaa aiseee unampngo gani mkuu
 
Yataibuka mengine ujikute unaikimbia nyumba yako. Don't try at home.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…