Kwa walio oa tu!

Kwa walio oa tu!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
*Ukiona kila siku kuna pesa inapotea ktk wallet yako wakati unapo ondoka home asubh. Nunua Pc 1 ya Dume au salama, katafute na PREGNANT TEST inayo soma Positive weka kwenye wallet yako then relax . Mwizi atajitokeza mweenyewe.*
 
[emoji23] [emoji23] ushauri wako sio mzuri
 
Ayaaaa umeharibu halafu yumo humu humu
Subiri atakae cheka sana
 
Mkuu sumu haijaribiwi kwa kuionja, d'Allah utavunja ndoa siku hiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom