Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilishawahi kufanyiwa pale TMJ siku nyingi kidogo (mwaka 2008), nadhani watakuwa bado wanafanya. Gharama sikumbuki..maana mwajili alilipia. Ukikosa mtu wa kutoa hint nenda pale nadhani gharama watakujuza.msaada kwa aliye wahi kupima kipimo hiki plz naomba anijuze gharama yake hospitali yeyote anisaidie nijue ni wapi na gharama yake saidia tafadhali.
Nilishawahi kufanyiwa pale TMJ siku nyingi kidogo (mwaka 2008), nadhani watakuwa bado wanafanya. Gharama sikumbuki..maana mwajili alilipia. Ukikosa mtu wa kutoa hint nenda pale nadhani gharama watakujuza.