kwa walio pima ya kipimo cha CT SCAN mahali popote.

LOOOK

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
3,389
Reaction score
674
msaada kwa aliye wahi kupima kipimo hiki plz naomba anijuze gharama yake hospitali yeyote anisaidie nijue ni wapi na gharama yake saidia tafadhali.
 
Nilishawahi kufanyiwa pale TMJ siku nyingi kidogo (mwaka 2008), nadhani watakuwa bado wanafanya. Gharama sikumbuki..maana mwajili alilipia. Ukikosa mtu wa kutoa hint nenda pale nadhani gharama watakujuza.
 
TMJ sh. laki 3
 
Back
Top Bottom