Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah kweli kaka, watu wa huku walio na maendeleo ni wageni hata sehem zinazoanza kujengwa jengwa ni nje ya jiji. Bado kuna kau mwinyi flan huku ndiomaana hakujaendelea sana kwakwel.Wachakarikaji wamepakimbia huko wameenda dar... Hao waliobaki huko watakuambukiza uvivu tu.
No kisa nnNjoo Tanga kaka, mi mwenyewe nilkuwa napenda sana hiz toto nyeupe na toto za kipenda lakini mmmmh, No kwa sasa.
Sasa sina mwenyeji we chakufanya nitumie namba ya pini kali ya huko ambayo itakua radhi kuja Mbeya, Mtwara na Dar.Njoo Tanga kaka, mi mwenyewe nilkuwa napenda sana hiz toto nyeupe na toto za kipenda lakini mmmmh, No kwa sasa.
😀😀😂 Ukakika wa kurudi upo mbona, kuna pis kali huku ila ujitahid ufunge zipu tuu.Tupe uhakika kwanza mtu kama akija uhakika wa kurudi upo?
Maana tanga waja leo ila kurudi ni majaaliwa.tena ukiwa mtu wa kutoka bara ndo kabisaa unagoma kurudi kwenu.
Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
Duh! Ngoja niahirishe safari ya Tanga niende Mombasa.Mwenyeji wangu ameshanipa somo kuhus wadada wa huku coz alishaanza kuniona naleta ujuaji. Wadada wa huku ni cheap sana mzee, alaf hawasemagi kama wameolewa huo ndio mwanzo wa kurushiwa jini na kupewa kichomi au busha kabisa.
Nao wana haya mambo ya ushirikina sana? Sababu nataka niende coastal city moja,Kuna Kilwa,Bagamoyo,Zanzibar, Mombasa na Tanga.Mwanzoni nilichagua Tanga ila kwa maelezo yako nimeghairi So nataka niende Mombasa. Nayo ikishindikana ntachagua eneo lingine.Naskia ni kama watanga tu.
Bro kwaufupi maeneo ya pwani huko kuna ushirikina na uswahili uswahili sana. Huku Tanga waganga kibao, huko bagamoyo pia vile vileNao wana haya mambo ya ushirikina sana? Sababu nataka niende coastal city moja,Kuna Kilwa,Bagamoyo,Zanzibar, Mombasa na Tanga.Mwanzoni nilichagua Tanga ila kwa maelezo yako nimeghairi So nataka niende Mombasa. Nayo ikishindikana ntachagua eneo lingine.
Ntachagua penye afadhali kama Zanzibar hiviBro kwaufupi maeneo ya pwani huko kuna ushirikina na uswahili uswahili sana. Huku Tanga waganga kibao, huko bagamoyo pia vile vile
Wachakarikaji wamepakimbia huko wameenda dar... Hao waliobaki huko watakuambukiza uvivu tu.
Ndo ukweli na haubadilikiUjinga huu