Van Dickson
Member
- Jul 10, 2012
- 15
- 1
mwambie kaka......madogo papala sana sijui wana mdudu gani kichwani
shuuuuuut up....
utoto jamani, akikua ataacha, mwelewesheni tu. sisi wengine pia miaka ilee wakati ndo tunaingia chuo, pale mabibo hostel tulikuwa tunaita ulaya...ndo kipindi kile hostel zinazinduliwa na sisi kuingia....lakini tulipokaa mara maji yakakosekana tukaona korido zinanuka haja kubwa ndo tulichoka kabisa....kupata bahati ya kuingia chuo ni furaha kubwa sana....najua wengine wameshasahau namna walivyokuwa na furaha,...pengine ilizidi hata furaha ya huyu mwanamdogo. dogo nenda kasome hapo ni shule tu fainali mtaani ukimaliza,...ukisoma kwa bidii na kwa umakini ukapata GPA nzuri, itakurahisishia ukimaliza, zaidi sana Mkumbuke Muumba wako siku zote kwasababu yeye ndiye anayeweza kuwa referee wako kupata kazi kama hauna marefaree wa kidunia kama tulivyokuwa sisi wengine.
siko hapa kushabikia vyuo!!!! lakini kabla hatujafika mbali jiulize,kwa ubora..mzumbe ni chuo cha ngapi hapa bongo au afrika??? au wewe unasemea ubora gani?? wa kuwa na likizo nyingi na ndefu??? kusema kweli mkuu hapa UME KU-RU-PU-KAAAAAA....KAJIPANGE HUKO!!!!i'ts a great honour to be selected in the best university in tanzania, Mzumbe University,watu kibao walitamani sema nii wachache ndo wwanapata bahati ya kuchaguliwa kwenye chuo hiki bora kabisa TANZANIA.bila shaka tutakutana tarehe 15,october..Nice time budies
subiri apewe boom la kwanza utaskia karudi huku anasema ooh maisha ya chuo matamu.....then ukipita mwezi utaskia ooh shida kusoma bongo ndio ivo sasa kabahatika acha aringe ila hajajua tuliopo huku kuna nini hahaaaSASA HUYU KIJANA KACHAGULIWA MZUMBE ANAJISIFIA KIASI HIKI!! JE ANGCHAGULIWA YALE AU PRINCETON INGEKUAJE!!! ila sikulaum sana maana unawenge la kuchaguliwa chuoni..ila wenge likiisha utatulia!!!!
KATUMIA UHURU WAKE VIBAYA!! ndo maana hata masela wakampa mafunzo kidogo...Dah! mbona mmemattack mshkaji kihivyo...jembe alikuwa anajaribu kutumia uhuru wake wa kupost jf nyie mnamdis..wabongo bhana!!
duh kama kweli bongo hakuna elimu bila pesa.HAHAHA! KWELI USILOLIJUA LITAKUSUMBUA AISEE, NAKUOMBEA UFIKE SALAMA HUKO CHUO NDO UTAJUA KAMA MZUMBE NI CHUO CHA MAGENIOUS AU LAH! MANA MIMI RAFIKI ZANGU NINAOWAJUA KAMA WANNE IVI WALIPATA DIV 4 2008 PALE MAKONGO ILA WALISOMA MZUMBE TENA MMOJA ALISOMA baf, KUNA DADA ALIKUWA RAFIKI WANGU WA KARIBU NAYE ni ivyoivyo! SASA SIJAJUA WENGINE WALIOINGIA HAPO KWA NJIA KAMA HII NA NINAAMINI WAPO WENGI SANA. MZUMBE PESA YAKO PIA INACHANGIA KUKUPA CHUO, NA KWA SASA HAKINA MVUTO! BUT ADM MZUMBE by that time KILIKUWA KINATOA FRESH PEOPLE ILA SIO MZUMBE YA SASA! HONGERA LAKINI KAMA UNAAMINI ULIYOYASEMA ILA MIMI NAJUA WEWE UTAKUWA NI LIMBUKENI NA HATA MATOKEO YA SIX UMEBAATISHA INAONESHA NDO MANA UNANDIKA ANDIKA UCHAFU HUMU!
subiri apewe boom la kwanza utaskia karudi huku anasema ooh maisha ya chuo matamu.....then ukipita mwezi utaskia ooh shida kusoma bongo ndio ivo sasa kabahatika acha aringe ila hajajua tuliopo huku kuna nini hahaaa
duh kama kweli bongo hakuna elimu bila pesa.