Kwa waliochaguliwa mzumbe chuo cha ma genious tuzungumze

we kilaza kweli ndio maana nina mashaka na elimu yako ivi ukiingia pale mzumbe na hayo mawazo yako utasapu mpaka ukome wewe
 
mwambie kaka......madogo papala sana sijui wana mdudu gani kichwani
 
shuuuuuut up....

POVU la nini dogo tulia tu utajionea mwenyewe si tupo hapa utajionea kalikizo ketu kama huna kazi ya kufanya mpaka tufungue ndio utajiju kama ulijua chuo kitakubeba sahau
 
utoto jamani, akikua ataacha, mwelewesheni tu. sisi wengine pia miaka ilee wakati ndo tunaingia chuo, pale mabibo hostel tulikuwa tunaita ulaya...ndo kipindi kile hostel zinazinduliwa na sisi kuingia....lakini tulipokaa mara maji yakakosekana tukaona korido zinanuka haja kubwa ndo tulichoka kabisa....kupata bahati ya kuingia chuo ni furaha kubwa sana....najua wengine wameshasahau namna walivyokuwa na furaha,...pengine ilizidi hata furaha ya huyu mwanamdogo. dogo nenda kasome hapo ni shule tu fainali mtaani ukimaliza,...ukisoma kwa bidii na kwa umakini ukapata GPA nzuri, itakurahisishia ukimaliza, zaidi sana Mkumbuke Muumba wako siku zote kwasababu yeye ndiye anayeweza kuwa referee wako kupata kazi kama hauna marefaree wa kidunia kama tulivyokuwa sisi wengine.
 
eeeh!! kweli leo nimeyaona ya filauni.............kumbe katika karne hii bado kuna watu wanaimba nyimbo za kusifu vyuo badala ya kuangalia uwezo alio nao ndani ya kichwa? Jina la chuo lina maana gani kama ndani ya kichwa chako umejaza mapovu kama unayoyatoa hapa?..............DAMN!!!!!!!
 
utoto jamani, akikua ataacha, mwelewesheni tu. sisi wengine pia miaka ilee wakati ndo tunaingia chuo, pale mabibo hostel tulikuwa tunaita ulaya...ndo kipindi kile hostel zinazinduliwa na sisi kuingia....lakini tulipokaa mara maji yakakosekana tukaona korido zinanuka haja kubwa ndo tulichoka kabisa....kupata bahati ya kuingia chuo ni furaha kubwa sana....najua wengine wameshasahau namna walivyokuwa na furaha,...pengine ilizidi hata furaha ya huyu mwanamdogo. dogo nenda kasome hapo ni shule tu fainali mtaani ukimaliza,...ukisoma kwa bidii na kwa umakini ukapata GPA nzuri, itakurahisishia ukimaliza, zaidi sana Mkumbuke Muumba wako siku zote kwasababu yeye ndiye anayeweza kuwa referee wako kupata kazi kama hauna marefaree wa kidunia kama tulivyokuwa sisi wengine.

KWELI KABISA NDUGU yangu ushauri mzuri KWELI MUNGU NI REFEREE MZURI
 
i'ts a great honour to be selected in the best university in tanzania, Mzumbe University,watu kibao walitamani sema nii wachache ndo wwanapata bahati ya kuchaguliwa kwenye chuo hiki bora kabisa TANZANIA.bila shaka tutakutana tarehe 15,october..Nice time budies
siko hapa kushabikia vyuo!!!! lakini kabla hatujafika mbali jiulize,kwa ubora..mzumbe ni chuo cha ngapi hapa bongo au afrika??? au wewe unasemea ubora gani?? wa kuwa na likizo nyingi na ndefu??? kusema kweli mkuu hapa UME KU-RU-PU-KAAAAAA....KAJIPANGE HUKO!!!!
 
SASA HUYU KIJANA KACHAGULIWA MZUMBE ANAJISIFIA KIASI HIKI!! JE ANGCHAGULIWA YALE AU PRINCETON INGEKUAJE!!! ila sikulaum sana maana unawenge la kuchaguliwa chuoni..ila wenge likiisha utatulia!!!!
 
subiri apewe boom la kwanza utaskia karudi huku anasema ooh maisha ya chuo matamu.....then ukipita mwezi utaskia ooh shida kusoma bongo ndio ivo sasa kabahatika acha aringe ila hajajua tuliopo huku kuna nini hahaaa
 
Dah! mbona mmemattack mshkaji kihivyo...jembe alikuwa anajaribu kutumia uhuru wake wa kupost jf nyie mnamdis..wabongo bhana!!
 
didaz kamala na emmanuel nchimbi pia walisoma pale.hakuna kitu pale hawachekani na udsm maana kwa kutangulia kwa hvyo vyuo vimetuulia taifa
 
HAHAHA! KWELI USILOLIJUA LITAKUSUMBUA AISEE, NAKUOMBEA UFIKE SALAMA HUKO CHUO NDO UTAJUA KAMA MZUMBE NI CHUO CHA MAGENIOUS AU LAH! MANA MIMI RAFIKI ZANGU NINAOWAJUA KAMA WANNE IVI WALIPATA DIV 4 2008 PALE MAKONGO ILA WALISOMA MZUMBE TENA MMOJA ALISOMA baf, KUNA DADA ALIKUWA RAFIKI WANGU WA KARIBU NAYE ni ivyoivyo! SASA SIJAJUA WENGINE WALIOINGIA HAPO KWA NJIA KAMA HII NA NINAAMINI WAPO WENGI SANA. MZUMBE PESA YAKO PIA INACHANGIA KUKUPA CHUO, NA KWA SASA HAKINA MVUTO! BUT ADM MZUMBE by that time KILIKUWA KINATOA FRESH PEOPLE ILA SIO MZUMBE YA SASA! HONGERA LAKINI KAMA UNAAMINI ULIYOYASEMA ILA MIMI NAJUA WEWE UTAKUWA NI LIMBUKENI NA HATA MATOKEO YA SIX UMEBAATISHA INAONESHA NDO MANA UNANDIKA ANDIKA UCHAFU HUMU!
 
duh kama kweli bongo hakuna elimu bila pesa.
 
subiri apewe boom la kwanza utaskia karudi huku anasema ooh maisha ya chuo matamu.....then ukipita mwezi utaskia ooh shida kusoma bongo ndio ivo sasa kabahatika acha aringe ila hajajua tuliopo huku kuna nini hahaaa

hakuna boom hapo,kwani mzumbe kuna kozi za priority as per heslb criteria for loan disbursement for this year 2012-2013 kwa hyo mbwembwe zake zitaisha tu,na atajua 2 kwanini mzumbe ni chuo cha ma-genious
 
duh kama kweli bongo hakuna elimu bila pesa.

kweli broo! kama unamtu alimaliza makongo 2008 muulize atakutajia mapaka jina mana kama huyo wa bafu alikuwa muuza sura sana pale makongo, mimi sikusoma makongo ila nililijua hilo na nilimjua! tena alikuwa mshkaji wake na makamua yule mwanamziki na walifeli pamoja! sasa huyo ni niyamjua mimi, wapo wengine wa aina hii kibao tu ambao wengine wana wajua mkuu! sio tu mzumbe peke yake, na hata ivi vyuo ambavyo vinaenda sana ki private private kwa idadi kubwa ya wanafunzi
 
Back
Top Bottom