Jeff the profucer
Member
- Feb 16, 2015
- 63
- 85
tthankskuna sehemu ya view selection kuona vyuo ulivyochagua, mi sijaona sehemu ya kusave, nadhan ukishaadd inakuwa umeshasubmit tyr
mimi bado sijaruhusiwa kuchagua programz upya lkn jina langu lilisha tokea kwa batch 2 ..... ivi ni mimi tu au na wenzangu wengne tafadhar nisaidien kujua wakuu