Kwa waliofanya application TCU

Kwa waliofanya application TCU

Joined
Feb 16, 2015
Posts
63
Reaction score
85
wadau naomba kujuzwa hv baada ya kukamilisha programe selection kwenye application kuna sehemu ya kusave au kusabmit make nmetumia cm yangu lakin sioni chchote badala ya print na
je nkitaka kuangalia programes nilizochagua nafanyaje

shukrani
 
kuna sehemu ya view selection kuona vyuo ulivyochagua, mi sijaona sehemu ya kusave, nadhan ukishaadd inakuwa umeshasubmit tyr
 
mimi bado sijaruhusiwa kuchagua programz upya lkn jina langu lilisha tokea kwa batch 2 ..... ivi ni mimi tu au na wenzangu wengne tafadhar nisaidien kujua wakuu
 
mimi bado sijaruhusiwa kuchagua programz upya lkn jina langu lilisha tokea kwa batch 2 ..... ivi ni mimi tu au na wenzangu wengne tafadhar nisaidien kujua wakuu

kama jina lipo tangu 2nd batch ila mpaka sasa profile inazingua ni vizuri ungeenda kuwaona manake ata sijasikia mwingine iliyemtokea, au kama upo mbali labda uwatumie tena barua usubirie 4th batch huenda wakakuondoa kwenye system.
 
Back
Top Bottom