Tare he 11. 02. 2014 usaili ulifanyika kwa
walioomba scholarship za tgcl.
Chakushangaza ni mda mchache uliotumika
kwa Kila mtu kuhojiwa, yani dk5 tu. Maswali
ya kujiuliza ni: je huu usaili ndo itatumika
kama kigezo cha kupata au kukosa nafasi?
Nini kiliazingatiwa ndani ya mda huo? Kama
Kuna vigezo vingine wazoefu tupatieni.
Karibu tujadili